Toa maelezo ya picha hii ya Kikwete na Kagame

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
11,092
Reaction score
7,236
Kwa muonekano wa hii picha na jinsi hali ilivyo sasa kati ya JK & PK , unadhani hii picha ingekuwa ni ya hivi karibuni ungeipatia maelezo gani ya kujitosherereza.

Mimi ninegukuwa 'mkulu wa kaya" hapa katika picha kama hii ningesema "usinizengue ntakutia vitasa mpaka kwenu wakusahau"

attachment.php
 
Attachments

  • K.jpg
    K.jpg
    9.1 KB · Views: 1,072
Jk anasema kwani nini-hunibabaishi wewe na mimacho yako. Tena ukome kabisa kunichokonoa-ohooo-bastard.
 
JK naongea kwa confidence wakati PK anaonekana hajiamni
Kwa muonekano wa hii picha na jinsi hali ilivyo sasa kati ya JK & PK , unadhani hii picha ingekuwa ni ya hivi karibuni ungeipatia maelezo gani ya kujitosherereza.

Mimi ninegukuwa 'mkulu wa kaya" hapa katika picha kama hii ningesema "usinizengue ntakutia vitasa mpaka kwenu wakusahau"
 
JK anaonekana kujiamini zaidi kuliko PK!

Lakini body language inaonyesha wazi hayo mazungumzo si ya kirafiki, haiwezekani rais anaongea halafu msaidizi wake anamshika (angalia kagame na msaidizi wake ni kama anamzuia)
JK atakuwa anamwambia niguse sasa uone ni kama vile mnyonya damu alikuwa anataka kumgusa, ila walinzi wake wakamzuia. Walinzi wa JK wamechukulia poa inaonekana kama wanamuamini bosi wao
 
Nimependenda uliposema kuwa jamaa amguse ili "amnyonye damu"....na kina kimario wakamchukulia poa kwa kumpa nafasi walau dk 1 ampe makavu live.
 
Dah nimecheka sana
Kuna watu ma don king humu
🙂
 
Usinitishe na huo ungongote wako Paulo!!! Nitakuvuruga hadi usahau vimiwani vyako hivyo kama fundi welding
 
JK anaonekana kujiamini zaidi kuliko PK!
JK akianzisha vita na nchi ya Rwanda mie naasi nchi hii. Hakuna haja ya kupigana vita kwa mambo ya kipumbavu yanayozungumzwa huko Congo.Ukizingati mie ni afisa askari niliyeacha na jua sehemu kubwa utawala wa nchi hii.Kama maafisa wa usalama huko marekani kama akina Michael Snowdean wanaaasi kwa nini name nisiaasi kwa maslahi ya wananchi maskini kuliko kutajirisha mafisadi kama akina SHUBASH PATEL walio na tender za kuuza magari ya kijeshi kwenye JWTZ?
 
JK anamwambia, K vipi sasa rangi ya mdomo? Macho mashallah umejaaliwa toto la kitusi!
 
Usinitishe na huo ungongote wako Paulo!!! Nitakuvuruga hadi usahau vimiwani vyako hivyo kama fundi welding

JK anamwambia kuwa " sasa unasemaje nkutie mabanzi au nikaushie coz mie niko maskani hapa"
 
JK akianzisha vita na nchi ya Rwanda mie naasi nchi hii. Hakuna haja ya kupigana vita kwa mambo ya kipumbavu yanayozungumzwa huko Congo.Ukizingati mie ni afisa askari niliyeacha na jua sehemu kubwa utawala wa nchi hii.Kama maafisa wa usalama huko marekani kama akina Michael Snowdean wanaaasi kwa nini name nisiaasi kwa maslahi ya wananchi maskini kuliko kutajirisha mafisadi kama akina SHUBASH PATEL walio na tender za kuuza magari ya kijeshi kwenye JWTZ?

Nawe utaenda Rwanda? Sawa wewe utapata binamu wa Kagame. Powa tu tuko 43 millioni wewe mmoja si hasara!
 
Back
Top Bottom