Hesabu yako hii haijakaa vizuri, ulikuwa una shilingi 50... lakini kwa hapo chini umepanga sehemu ya matumizi pamoja na salio, na jinsi ulivyojumlisha umejumlisha sivyo, sehemu ya matumizi upo sawa... kwa sababu kupata jumla ya salio ni sawa na matumizi yako yote ndio unapata salio lenyewe ndio maana imekaa sawa... Hesabu yako ipo sawa kabisa, lakini ninaposema haijakaa vizuri ni hapo ulipokosea kujumlisha upande wa kulia, ndio maana imetokea hiyo tofauti...