karo laiti zao hizi aibu ukitaka kuchoka nenda kliniki
japo watoto wengine baba zao weusi lakini wamama
utajua tuuu wanatumia karo laiti yani mama kama mzung kitoto cheusi tiii
lool namshkuru allah hajanijalia kupenda mikorogo yaani mtu unakuwa
kama jinilahaula lakwata
nilimuonaga maeneo ya kinondoni akanisogelea tukawa tunasalimiana almanusra nizimie maana lile tabasamu na uso wake alivo kama yai lilio ungua, kakomaaaa kama dume la fisi
Wadau hebu niambieni huyu mama anakula unga, bangi, mirungi, au gongo ndo unamfanya hivi?!!, naona kila siku anakongamaa tu, cosmetics dont work good enough!. niambieni mnaomfahamu
Mama mtu mzima huyu, cjui umri wake lakini kama sio kujiupdate tayari angeshakuwa kibibi. Nampa pongezi kwa kuendlea kujiweka sokoni ktk mwonekano na utendaji.
Asha Baraka huyo wa Twanga PPT
Dame wa siku nyingi , vijana msije mkaingia kichwa kichwa.
Ila ni mjasiria mali mzuri, toka karani BIMA hadi mmiliki wa bendi inayogaragaza wanaume wengi.