Toa comment juu ya hii bike!!!

- Atakua anabadilisha soli za viatu badala ya matairi!
- Akiendesha analukaluka hivyo atakua ana pata njaa mara kwa mara!
 
Kupiga pedeli hapo shughuli inaelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…