Aisee kale kadeni kako nakakumbuka samahani kidogo niko kwa wakwe,baba mkwe anaumwa nitakupigia nikitoka huku!Wajomba nawasalimu kwa jina la JMT.
Hii picha inasema mengi sana, pia ni picha nzuri na yakuvutia.
Wajombaa nisaidien kutoa caption inayoendan nayo[emoji23]View attachment 1838987
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
JPM sijawahi kumuelewa na sitokuja kumuelewaTuliwaambieni tena na tena Bi Mkubwa mchemsho mkabishi. Mbona sasa!??? JPM alikuwa jeshi na nusu.
[emoji3][emoji3]Aisee kale kadeni kako nakakumbuka samahani kidogo niko kwa wakwe,baba mkwe anaumwa nitakupigia nikitoka huku!
Usijali sana maana hauko peke yako. Hata Bi Mkubwa wenu alidai alimwelewa, lakini makorokocho ayafanyao ni dhahiri alikuwa anasinzia darasani wakati Profesa JPM akitoa bonge la lectures field.JPM sijawahi kumuelewa na sitokuja kumuelewa