Unajua mkuu hii project tumeongea saaaaana. Basi ili kuprove maneno yetu, let's do it with actions.
You know what, Linus Torvalds said "Too much words, show me the code".
Sasa tufanye hivi, mm ntaitengeneza hio library kwa solution nlioisuggest hapo juu, na ww tengeneza yako kwa programming methods zako za kawaida. Afu wote tuzifungue github ili wale wanaokuunga mkono ww wakufate huko u collaborate na wachache wanaoamini hii idea yangu nao watanifata kucontribute github. Thn tupeane muda baada ya hapo turudi hapa na kuwaacha watu wafanye judging kuhusu ipi library iko very functional.
Afu unavyosema kutumia "KISS" unajua A.I ni kati ya methods zinazoweza tengeneza very simple solutions to hard problems(kama hujafanya projects za A.I utanibishia lkn wanaofaham vzr watanielewa)
Hio nasema kwa sababu normal programming methods zinadeal sana na linear data(data with linear relationship) ila with help of neural networks it is easy kudeal na both linear and non-linear data.
Tusiongee sana. Kama uko tyr let's start the thing, coding haina siasa za kubishana.
"Too much words, Show me the code" By linus torvalds(Maker of Linux OS)
DEAL??