Mbona secretarybird nilivyoadimika humu jukwaani Kwa majuma kadhaa hukunifungulia uzi Sasa iweje umfungulie To yeye ambaye ameadimika Kwa masaa kadhaa.

Tutayasikia mengi mwaka huu au kisa kapunguza kulikes threads zako 😂😂 , Ngoja nipitie comments za wanajamvi huwenda nikapata mwanga wa kujua aliyemficha 😂😂