Hii ni serious wala sio masihara, me hii inanikuta sana, kila dem ninaesex nae lazima maisha yake yanyooke
Naombeni elimu na ufafanuzi juu ya hili fumbo nililofumbwa
Mwenye uelewa anielezee , maana nikiwaelezea hapa JF kuhusu maisha ya maEx zangu na maisha yangu kwa sasa yako tofauti kabisa, hata kuwasogelea tu maana wameshakua high level zaidi yangu