To The US Deputy Chief of Mission in Tanzania

: japo mwanzisha uzi anaweza asiwe sahihi sana mnaomshambilia mna hoja dhaifu mno!.mbowe amekuwa kikwazo kikubwa sana kwenu.
Lazima awasumbue kwakuwa mpaka sasa Mbowe ni mwanasiasa wa karne nchini Tanzania.

Ukipita pale ilipokuwa bilcnas ukaangalia kile kifusi, ukienda kule hai ukaona mashamba yaliyosambaratishwa, ukirudi Dar ukakutana na kesi feki dhidi yake, lakini pamoja na yote hayo hajaunga mkono jitihada za rais kama akina waitara. Utamwitaje mwanasiasa huyu zaidi ya shujaa na jasiri??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti mna TISS, idara gani hiyo iko bize na CCM tu, mpo uchi kwa Kagame, kwa US ndo usiseme, CIA wanapika majungu na wapo magogoni, wanawapenda Sana mabazazi viburi Kama nyie ndo huwa mnawarahisishia Kazi ,think big, kwa nini hawajateua balozi siku zote na haijawahi kutokea ktk historia ya Tanzania, jiulize kwa nini Obama alicheka na fisi siku 8 Serengeti bila ya kumwona jiwe? lakini Kenya na South Africa aliongea na marais wa hayo mataifa?
Nyie ni wapuuzi kweli kweli, Hakuna usiku usio na mchana, your days are numbered.
Unfortunately it's hard to notice the current situation surrounding them!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majibu yanayotolewa ni Katika kuweka rekodi sawa ; kwani uongo ukiachwa uenee hugeuka kuwa kweli..

Swala la vikwazo sio rahisi kama baadhi ya watu wanavyofikiri.

Vyama vya upinzani vijitahidi kutumia nafasi Vyema badala ya kutegemea miujiza toka nje.

Maswala ya kila Taifa humalizwa na wenye nchi wenyewe.
Masuala ya kila taifa umalizwa na taifa isipokuwa misaada na uomba omba!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom