Mulama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,018
- 1,791
Lazima awasumbue kwakuwa mpaka sasa Mbowe ni mwanasiasa wa karne nchini Tanzania.: japo mwanzisha uzi anaweza asiwe sahihi sana mnaomshambilia mna hoja dhaifu mno!.mbowe amekuwa kikwazo kikubwa sana kwenu.
Ukipita pale ilipokuwa bilcnas ukaangalia kile kifusi, ukienda kule hai ukaona mashamba yaliyosambaratishwa, ukirudi Dar ukakutana na kesi feki dhidi yake, lakini pamoja na yote hayo hajaunga mkono jitihada za rais kama akina waitara. Utamwitaje mwanasiasa huyu zaidi ya shujaa na jasiri??
Sent using Jamii Forums mobile app