Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
Bahati mbaya sana niliandika kimasihala sana, naona umechukulia too personal, pole kama limekuudhi.Mwanaume mzima unafatilia mahusiano ya watu itakuwa shoga wewe si ridhiki
Tukibebishana mnasema haya tumetulia tunakula matunda mnasema
Binadamu mnataka mpaka tuwanya.mbie kwenye mapaji ya uso ndo muache ufukunyuku wewe punga si buree au james delicious
nitakupenda hivi hivi kipenzi changu siku zote nitakuwa hiviKama ni surprise umeniweza, yan nasoma hii comment ako neno kwa neno, imekua kama kule zile sms unanitumiaga navyozisoma,asante kwa kuifanya siku yangu niianze kwa kutabasam, asante kwa kukubali kunichagua kati ya wale wote babe. Nakupenda, nipende na tupendane tufike mbali, uwe hivi hivi usibadilike
Unipende hivihivi usipunguze na wala isitokee ukapunguza upendo huu, univumilie na mapungufu yangu, hata usichoke nadhani unaelewa why nakwambia hivi
Thanks babe, I love you more
muombe msamaha tu yaishe mkuuBahati mbaya sana niliandika kimasihala sana, naona umechukulia too personal, pole kama limekuudhi.
Hahahaaa, hapo hujamaliza kitabu umeshamteka Madame ukifikisha mwisho kweli lazima awehuke tu mkuu,ππnitakupenda hivi hivi kipenzi changu siku zote nitakuwa hivi
sitapunguza hata kidogo babe pia sitaongeza naogopa utawehuka mpenzi
Ndio uungwanamuombe msamaha tu yaishe mkuu
hahaaa acha tu mkuu ndo kwanza nipo kwenye dibaji hapa halafu kuna second edition kumbuka πππHahahaaa, hapo hujamaliza kitabu umeshamteka Madame ukifikisha mwisho kweli lazima awehuke tu mkuu,ππ
Dah! Umhurumie kwanza dada yetu nenda nae mdogomdogo asije akasahau na kwao kabisaπππhahaaa acha tu mkuu ndo kwanza nipo kwenye dibaji hapa halafu kuna second edition kumbuka πππ
ahahaa sawa mkuu, limepita hiloDah! Umhurumie kwanza dada yetu nenda nae mdogomdogo asije akasahau na kwao kabisaπππ
ina maana gani kwani?? mimi nimejiwekea tuHio avatar ya anaependwa ujumbe wake Utapata tabu sanaπππ.
hapa kuna mada 6 zimeongelewa katika comment 1 tu ahahahahaha pachaMpska sasa hivi bado naimba ule wimbo wa brother diamond NIMPENDE NANI?
Ila ww madame sisi wanachama wa Kapuku forum tunafaham ww ni shemuu kwa Baily5 ysmewakuta yapi tena?Hafu uzuri na Arcduke nae ni memba kuleeππ
Alichofanyia Paprika hakiayamumgu diwez sema,Ila nichojifunza kesho siwaamini wacheza dimema za JF, Moyo aliupatia mateso siwez kumeza siwez tema ndomana sikushangaa ile gafla Shunie kutoka kwa Lee Empire kwenda kwa Davet..
I miss you @Papriks
πππhapa kuna mada 6 zimeongelewa katika comment 1 tu ahahahahaha pacha
nakukumbukaga mshikaji wangu....
Aaah wapi bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Lee wangu yupo
hatari sanaaπππ
Inaitwa Zigo remix hiyo..
Aaah wapi bwana
Ashakua zilipendwa
πππ
Inaitwa Zigo remix hiyo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cc.
@Aisha2016
Sijui nimepatis nikiikumbuka nitamtag
Hivi kijana wa watu ulimjibu kweli vile kule.?Mioyo inashindwa kuvumilia kabisaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Kawa mpenzi mtazamaji wa rufufu..Wala Lee wangu amejaa tele
AkuHivi kijana wa watu ulimjibu kweli vile kule.?
nenda kapuku kule ukaload zile comments unaweza ukafanikiwa labda π πCc.
@Aisha2016
Sijui nimepatis nikiikumbuka nitamtag