Mtanzania haswa
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 663
- 101
halafu ataanza kulia wiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii maswali mengine yanatia uchungu hasa unapoulizwa posho za wabunge ambazo ni maalum kwa ajili ya kuzigawa kwa wapiga kula wetu ambao ni omba omba kama ilivyo utamaduni wetu wa taifa letu tuliojiwekea kuombaomba,hata pasipotakiwa kwa mfano vyandarua, ni utamaduni tu na hatuwezi kuuacha kwa dhati na dhamira tuliojiwekea watanzania. na makofi yatafuata kumpongeza PM.serikali ...inashirikiana na.....kufanya mchakato.....ili kushughulikia.......hata hivyo......mapendekezo haya nitayafikisha kwa rais akirudi.....