Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
jongweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!viongozi wote wa afrika wangekuwa wanatumia lugha namna hii kwa viongozi wa ulaya waafrika tungeheshimika!
Viongozi wote wa Afrika wangekuwa wanatumia lugha namna hii kwa viongozi wa Ulaya waafrika tungeheshimika!

Wewe unataka wanyimwe ma tailored suit wenzio..................???:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amemwita Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron, "Shetani", kwa kutishia kuzinyima misaada, nchi ambazo hazitambui haki za mashoga; vilisema vyombo vya habari vya serikali, Alhamisi, tarehe 24 mwezi huu.
"Ni mbaya zaidi na ushetani, unapokuwa na Waziri Mkuu kama Cameron, anayesema nchi inayotaka misaada ya Uingereza, lazima ikubali ushoga," alisema Mugabe, katika hotuba yake, aliyoitoa Jumatano, tarehe 23 mwezi huu; iliyonukuliwa na gazeti la serikali, la Herald.
"Mtu anapoleta wazo la kishetani la namna hiyo, kwa watu wetu, hiyo ni ofa ya kipumbavu," alisema. Mugabe alikuwa anazungumza katika mji wa machimbo ya madini, wa Shurugwi, kilomita 300, kusini mwa Harare.
Mugabe amelaani hatua yoyote ya kutaka ziwepo haki za mashoga katika Katiba, na kusema kwamba, huo ni wendawazimu.
"Ninyi vijana, kamwe msishawishike kuwa mashoga na wasagaji. Mkifanya hivyo, tutawaadhibu vikali. Ni matendo yaliyolaaniwa, yaliyo kinyume na asili. Yamelaaniwa hata na wadudu, ndiyo maana nimesema, mashoga na wasagaji; wanazidiwa busara na nguruwe na mbwa," alisema.
CHANZO : AFP
Kati ya wahafidhina wa mrengo wa Cameroonhuyo mzee naye nishachoka hata kumsikia.

huyo mzee naye nishachoka hata kumsikia.
Vipi hujachoka na Kikwete ambaye hajakemea Ushoga????huyo mzee naye nishachoka hata kumsikia.