Kabaunyeri
Member
- Apr 5, 2012
- 38
- 36
Habari kwenu!
Iko hivi " To every beautiful woman you see, there is a man tired of f***n her".
Binafsi nimeishuhudia kwamba zile feelings unazokuwa nazo mwanzoni wa mahusiano au pindi unapomfuatilia binti, huisha au kupungua sana baada ya kuwa nae kwa muda na hasa pale unapopewa tunda a.k.a kutimiza haja zako.
Au ile hali ya kutamani demu flani lakini "mwenye mali" anamchukulia poa mpaka unajiuliza shida nini?
No offense ladies, but therez some truth behind it.