To be a Tanzania President you must be a devil?

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Jan 31, 2009
7,334
3,893
Wakuu wa JF nawauliza, hivi inawezekanaje mgombea urais kupitia ccm kupita kwenye vigingi vya mizengwe ndani ya vikao vya chama kama kamati kuu, halmashauri kuu, na mkutano mkuu bila sapoti ya mafisadi kwa sasa? Kwa maoni yangu ili upambane na ufisadi ukiwa raisi ni lazima ujiunge na mafisadi kwanza wakupitishe...kisha unaanza kuwamaliza. mwacheni jk awe kama hivyo. To fight with a devil you must be a devil..

 
Kwa chama gani?? if CCM there is high chances of your answer to be true! what about Chadema etc?? You are only thinking of CCM? are 'you in love with these monsters'?
 
Mutharika Malawi alipitishwa na CCM ya kule..alipopata uraisi basi akahama chama akaanzisha chama chake na hadi leo ni raisi!

Je Jk hawezi kuamua kuondoka CCM kabla uchaguzi??
 
Mutharika Malawi alipitishwa na CCM ya kule..alipopata uraisi basi akahama chama akaanzisha chama chake na hadi leo ni raisi!

Je Jk hawezi kuamua kuondoka CCM kabla uchaguzi??
Ni kweli mkuu, inawezekana mtu atakayeleta changes za kweli yuko ndani ya CCM. Hivi vyama vingine, naona itachukua muda kuwashawishi wananchi kama wanafaa kushika madaraka ya juu ya uongozi.Zambia na Malawi waliamua kwa haraka kupiga chini vyama tawala wakaingia matatizoni kwa Chiluba na Muluzi
 
True changes come from the "people" and not from few lunatics who are selfish.

I don't know any true revolution which came from one individual person. He/She can be on the driver seat but if there's no mass support, it will be useless.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom