This is so sad...
Nimeona nisiifute... Nimsaidie huenda ikasaidia na wengine.Power point imekataa kapotea kabisa, MOD futeni hii
...ukiwa unataka ku-attach doc yoyote iwe PowerPoint au Excel au chochote hakikisha unaki-ZIP ili kukipunguza ukubwa na ndipo u-upload (attach) hapa JF.
Mkuu Invisible,
Let's be perfectly straight with each other here. Uki zip faili au kuli-rar unapunguza around 1%. Faili la 10MB linaweza kuishia na 9.8MB. (Naongea from experience, nina send mafaili makubwa na madogo on line like it's nobody's bizness.) Ukitaka tutafanya experiment hapa uone tofauti ya "compressed" file na la kawaida.
Na hata kama ingekuwa inapunguza in any appreciable manner, hivi kuna concern ya space hapa? Kuna tofauti gani kati ya mtu kubandika li powerpoint la MB 20 na watu 20 kuweka matundiko ya MB moja kila mmoja?
Kuna concern ya urefu wa mabandiko hapa, namaanisha data storage?
Concern ya space kwenye server ipo.
... Pengine jamaa amejaribu ku-upload file lenye ukubwa zaidi ya 2.86MB ambayo ndiyo limit - akashauriwa ali-zip ili kuondokana na tatizo? (that is my guess).
Kwanini unadhani hakuna concern ya space kwenye server ambako deleting old content is not performed?
(I'm not speaking on behalf of MODs or owners)
Sababu kubwa ya kuwambia watu wa-zip au wa-rar files ni kwakuwa kuna formats nyingi sana na kadiri siku zinavyokwenda ndivyo M$ wanavyozidi kuzibadili.
Tuna space kubwa sana, 10TB (10,000 GB) space nadhani inatosha kwa JF peke yake!
Mkuu 10TB kwa JF pekee yake, that sounds very good - JF Idumu.
thanks kwa uvumilivu maana kuna watu wameomba sana hiyo attachement niiweke hukunimeona nisiifute... Nimsaidie huenda ikasaidia na wengine.
Please, kwa wale members tafadhali tafuta winrar programme hapa:
winzip + winrar
kisha ukiwa unataka ku-attach doc yoyote iwe powerpoint au excel au chochote hakikisha unaki-zip ili kukipunguza ukubwa na ndipo u-upload (attach) hapa jf.
Karibu.
Umesomeka... Hii attachment nimeshatumiwa kwenye mail zaidi ya mara 50 since 2003. Basi inabidi nichukue hatua 🙂Invisible na wengine please see the attached.