To anyone,,,Application Letter | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

To anyone,,,Application Letter

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ProBook, Mar 6, 2012.

 1. ProBook

  ProBook JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  P.O.BOX 713,
  ARUSHA
  Tel:0715 214194
  28[SUP]th[/SUP] February 2012

  THE MANAGER,
  P. O BOX
  ARUSHA.

  Dear Sir/Madam,
  Re: Applicationfor Temporary Employment

  Kindly refer to the heading above.

  I am a form six leaver of the year 2012 from Old-Moshi Secondary Schoolseeking a temporary employment in your organization.

  Besides studying science subjects (PCM) at high school, I have a good command in English, KiswahiliandComputer Literacy.I have also considerable knowledge and skills in Computer Maintenance.

  Some of my strong attributes include being able to work independently with minimum supervision,to take challenges, self-confidence, eager to learn, honesty, responsible and havestrong sense of team work.

  I guarantee you that, if granted the position, I will be committed to the success of your organization by integrating the knowledge gained from school to bring fruitful results.

  Attached are copies of my CV and other relevant certificate for your reference.

  I hope that my letter will receive your kind consideration.


  Yours faithfully

  Applicant.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,903
  Trophy Points: 280
  copy and paste au ni nini? i dont see any attachments and your singature sir.
   
 3. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,959
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  ujanja ni cv. Barua tunaandika kifupi.
   
 4. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  i dont understand the above letter, hebu jaribu kuandika tena in a proffesional way may be u will be considered
   
 5. mtanzania in exile

  mtanzania in exile JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Ushauri wangu tu ndugu, ingawa wengi watabisha hapa (nimegundua hili kwa muda mdogo niliojiunga, kuna watu ubishi ni kazi yao) kwanza soma tena barua yako, kuna makosa mengi mno ya uchapishaji. Umechanganya maneno mengi mfano Applicationfor, Schoolseeking, KiswahiliandComputer, supervision,to ni makosa madogo madogo, lakini kama wewe ndie unaepokea barua namna hii hivi kweli utamuajiri mhusika? Mimi sitokuajiri kwa sababu unaonyesha dhahiri kuwa utakuwa ukifanya makosa kazini, na pia huko serious kwa sababu kama uko serious ungelichukua muda kusoma barua yako kutoa makosa kabla ya kuituma.

  Pia kwenye strong attributes, ok ndio kwanza umemaliza form six, lakini ushahidi wa unayosema uko wapi? ningelikushauri ure-phrase sentensi hiyo na uweke ushahidi, maneno kamam possessing proven x and y skills as proven by completing/assisting/etc.

  I have a good command in English, Kiswahili and Computer Literacy. sentensi hii unadhani iko sawa? good command in cumputer literacy? really? by the way it is swahili and not kiswahili. Kumbuka Ki tunatumia kuashiria aina ya lugha na sio sehemu ya jina la lugha; kiarabu, kifaransa, kifini, kijapani etc.

  Ningelikushauri ure-phrase ulivyoanza barua yako pia "I am a form six leaver of the year 2012 from" iandike kivyengine.
   
 6. MONTEGO

  MONTEGO Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Alichokuambia mkuu hapa ni kweli, jitahidi umakini sana kwa swala lolote maisha yatakuwa mepesi.
   
 7. b

  babacollins JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 879
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mzee nakukubali ila inawezekana mshiko mdogo kwa hiyo kaandika faster faster si unajua cafe ni za kulipia?
   
 8. K

  KIYENZEL Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna mijamaa humu ndani kazi yao ni kukatisha tamaa watu na kujidaii kwa kuwa mwenyewe ina kazi inaona ndio imemaliza kila kitu
   
 9. A

  ANTA Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hamna barua unayoweza kuona singature. Mh, mi sijui.
   
 10. S

  Shawn Carter New Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hey guyz, don'rept NE comment tha l'boi z wrong, NO!! coz no 1 z perfct, I do appreciate & I ain't go no wron' dh ma boy'z.. Similary na mimi pia nimemaliza kidato cha 6 na ninatafuta ajira yeyote ile ya muda, cchagui.. I am in Dar na 2wacliane
   
 11. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Karibu kwenye ulimwengu wa kazi kabla hujaenda kusoma. Nakushauri jaribu kutumia lugha kwa ufasaha na unyenyekevu/ nidhamu ( sijamaanisha uwe mwoga) wakati wote bila kujali rika, nafasi wala jinsia. Itakusaidia sana katika maisha yako na utendaji wako hususan muonekano kwa mara ya kwanza.
   
 12. M

  MTITIMA Member

  #12
  Mar 10, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bro nimekukubali umesom language nini.
  Kijana fuata ushauri huu
   
 13. N

  N series Senior Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa na wewe una andika haraka haraka na kwa vifupisho vya kwenye simu, unahofia kutuma message mbili au?????????
  hapa kuna watu wazima ambao hawavijui hivyo vifupisho vyako kama don'rept NE comment tha l'boi, I ain't go no wron' dh ma boy'z,,,,, sasa kijana nikikutaka uniandikie report si utaniwekea madudu yote hayo au???????
   
 14. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hii ni lugha gani aisee sijaelewa kabisa
   
 15. Reserved

  Reserved Content Manager Staff Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 750
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Punguza uandishi wa ki-sms humu maana toka mwanzo wa maandishi yako hausomeki umeandika nini
   
 16. g

  guccio Senior Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duuh mode mkali huyo...
   
 17. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 577
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Mhh!nashindwa kuelewa were you sleeping ulivyoandika mistari migapi hapo juu au umeona hakuna umuhimu wa kukosoa?bt kuanzia kwenye Simiraly...na kuendelea mbona kunaeleweka??Kweli na wwe na form6?haujapiga GS nn?pale kwenye topic ya kwanza kabica Comm.Bt ucfe mwoyo We learn thru Mistakes.
   
 18. Ng'wale

  Ng'wale JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,763
  Likes Received: 599
  Trophy Points: 280
  Hey guyz, don'rept NE comment tha l'boi z wrong, NO!! coz no 1 z perfct, I do appreciate & I ain't go no wron' dh ma boy'z.. Similary na mimi pia nimemaliza kidato cha 6 na ninatafuta ajira yeyote ile ya muda, cchagui.. I am in Dar na 2wacliane
  • [​IMG]Hii ni kali, kila kitu kufupisha haileti maana kabisa.
   
 19. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  we do not understand u brother form six leaver. jaribu kuwamakini,any way tutakujulisha ikitokea.
   
 20. o

  olomi Jr. Member

  #20
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushaur wa Montego uko poa ufanyie kazi..
   
Loading...