☆ TO ALL MEN ☆

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,958
mwenye masikio na asikie

1- Usilale na Mke wa mtu
Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele

2 - Usiwe na mahusiano na Boss wako
Mkigombana utapoteza mapenzi & maisha

3 - Usije kupendana na EX wa mshikaji wako
Akiachwa na msela, ameachwa na Familia🙌

4 - Ndugu yako akikufundisha Kuvua KAMWE usirushe nyavu mtoni kwake

5 - Ukitambulishwa shemeji acha kutaka kuonekana wewe bora kuliko mwana

6 - Kama wewe sio mjomba basi achana na Mashangazi yaliyokuzidi umri👀

7 - Siku zote heshimu hisia zako, Usilale na mwanamke usiemuamini, Kuna makosa ya gharama kubwa kuliko starehe za siku moja

8 - Usitumie hisia sehemu inapohitajika Akili🧠

9 - Tunapambana kila siku lakini mtoaji ni Mungu, Mshirikishe Mungu kwa kila jambo sababu wakati mwingine anasubiri uombe ili upewe👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…