Nime-edit boss wangu kama haikueleweka vizuri, nashukuru kwa ushauri wako,tatizo nina njaa sana (sina pesa, sina kazi..hivyo hata ubongo unalala boss) ukiwa na njaa hata kupangilia inasumbua ,hivyo kama hukuipata sms vizuri nakuomba ipitie tena kwa ushauri zaidi.
oh, God help. Who is laughing at who???????!!!!!!!!!!!!! Do you have the slightest idea what course did the graduate take at the varsity? Do you think whoever joins a university is compelled to study English as a language? Yes, the language used might be poor, but did you get the message intended to be delivered? Jamani hii ni lugha ya wengine. Kiswahili chenyewe tu tunashindwa kujua kipi sahihi kati ya 'suruali' na 'suluari' itakuwa kiinglishi!
hbu ni pm mkuu ili nikupe web ambayo inatoa fund juu ya shughuli mbali mbali
what i can urge my fellow job seekers is that we dont need to have a job or a pay cheque every month or a safe secure job....always aim at even working for free in any institution,this will enable u guyz have freedom and gain necessary experience in the context of life you have chosen.
Haya ndo mambo ya FOREVER LIVING na hakuna jipya hapa.
Nimekupata Typical TZ. ILIKUFANIKIWA KATIKA MAISHA, ZINGATIA MAMBO YAFUATAYO.
1. FANYA KILE AMBACHO UNAKIWEZA ZAIDI AIDHA KWA KUZALIWA NACHO AU KWA KUJIFUNDISHA. "AND WHAT EVER YOU DO, DO IT WELL".
2. FANYA KILE AMBACHO UNA "ENJOY DOING IT". MAFANIKIO YANAKUA RAHISI KWA WALE AMBAO "THEY GET PLEASURE FROM THEIR WORKS"
3. "THE WAY TO ANY WHERE, BEGIN FROM WHERE YOU ARE" ANZA HAPO ULIPO NA ULICHO NACHO HATAKAMA, "WHAT YOU HAVE IS ONLY IDEAS"
4. "DO NOT ENJOY SUCCESS BEFORE YOU HAVE IT" . USI ISHI KWA KUIGA.
5. "BROBLEMS ARE BLESSINGS IN DISGUISE. ANY FAILURE IS YOUR FUEL TO MOVE AHEAD" and lastly
6. " THERE IS NO TRUE AND EVERLASTING SUCCESS WITHOUT STRUGLE.
THINK ABOUT THAT FIRST.