Hivi, wewe ni binamu na yule mpenda pesa mwingine humu ambae anatokea Kaskazini au?Hahahaaaaaa! Siku hizi napenda hela iambatane na ALOSTOOOOO, hela za chatu alievimbiwa sizitakii. cc Kijana Mpole unaitwa huku.
Well, I'm sorry to disappoint you Miss, but i'm sticking to my guns.Come on!!!!!!!!! You surpassed my disappointment! Kumbe you is a SOFTY after all! You nearly fooled me.
Thanks .You must be gorgeous 'Upstairs' as well.Haya,Fasta Kamata Busu la pongezi ( Kama shem yupo jirani, kausha usinirudishie)
, hahahaha usipoombwa wewe watatafutwa kwa udi na uvumba mpaka wajae yutong huko nje..Its not about the money or other materialistic stuff its about YOU and how you place yourself out there.
I think it depends on the kind of women most men are approaching!Ulichosema ni kweli mambo yamebadilika na wachache walobakia mwenye mtazamo kama huu wanapaswa washikamane ili this so called perspective isipotee!Walio wengi wameweka pesa mbele kutokana na mifano tofauti wanayoiona kwenye jamii.Hata enzi za zamani mwanaume alikuwa provider but of course wanawake wamebadili definition ya providing na wanaimisuse!Story hii ni nzuri sana lakini kwa wanawake wa aina hiyo ni wawili katika mia, haswaaa katika huu ulimwengu wa kisasa. Dunia imebadilika sasa nadhani tunahitaji pia kubadilisha maono yetu katika mapenzi. Perfect Man DON'T CHEAT, DON'T SMOKE , NEVER EXIST. UNLESS U SHOULD MARRY YOUR BABA OR MAMA OR KAKA OR DADA.Good thread but in wrong timings. Hii ingependeza enzi zile za kuchora kopa na kuandikiana barua. Sasa hivi ni noti kwanza ndo mengine yafuatie, hali ngume jameni.Katika upande wetu wanaume kweli tunapopata hela huwa baadhi yetu tunabadilika na kuwasahau wake wetu. Ila wakuu impact ya hela katika jamii nyie acheni tuu, inakuwa inawasha anytime.Best option nadhani gorgeousmimi angekumbusha tu akina dada kwamba hela hazivunwi kama embe, wengine waumie wewe ulambe kiulaini tuu, hapo lazima utabakia mtumwa tuu na furaha unayoitegemea huta ipata kamwe. Kuna movie moja inaitwa The confession of the marriage consultant (kama sijakosea tittle) inaelezea haya yote unayoeleza mleta mada, ila mwisho wake yule dada furaha aliyokuwa akiitegemea iliyeyuka na kuambulia HIV.
I think it depends on the kind of women most men are approaching!Ulichosema ni kweli mambo yamebadilika na wachache walobakia mwenye mtazamo kama huu wanapaswa washikamane ili this so called perspective isipotee!Walio wengi wameweka pesa mbele kutokana na mifano tofauti wanayoiona kwenye jamii.Hata enzi za zamani mwanaume alikuwa provide but of course wan awake wamebadili definition ya providing na wanaimisuse!
ha ha ha we´ll doctor "I AM HERE" lol......Maneno mazuri bidada,
Ila hapa , hahahaha usipoombwa wewe watatafutwa kwa udi na uvumba mpaka wajae yutong huko nje.
Halafu wanawake wenye maono Kama hayo yako ni almost hakuna kwa dunia ya sasa hivi.
Ila Kama mwanaume kuna point ulizoongea zipo vizuri Kama vile mwanaume kujiamini ni muhimu Sana kwa maisha haya.
We´ll my lady thats the problem with most women,We want everything!And the fact is that we cannot get everything!Its either one way or the other...Its a bumpy road you know!!!You cant expect to be served everything on the silver plater....You my lady need to work to earn your achievements,even if it is the man of your life!No sweets without sweat.Aaaaaah wapi! SIFUTI KAULI VIWANGO KWENYE GAME MUHIMUUUUU! Chatu alievimbiwa hatakiwi kabisaaaaa:lol: hata awe na security gani.
I believe you are one too my dear!:A S angel:For good men...
^^
Marhabaaaaaaaaaaaaaaa! Mtoto wa KIKE wa kiislamu kusapoti mafunzo kama haya AIBU YAKO MWENYEWEEE.
itabidi basi kupiga konyagi kabla ya game ndo solutionAaaaaah wapi! SIFUTI KAULI VIWANGO KWENYE GAME MUHIMUUUUU! Chatu alievimbiwa hatakiwi kabisaaaaa:lol: hata awe na security gani.
sure..kizazi cha sasa ni cha wanawake wanaopenda kupokea tu bila kutoaUko vizuri upstairs, japo kizazi unachoongelea kinaisha. Bravo!
Dont take advantage of what the holy book says...You are suppossed to be provided and yet stick by your man even if he is a kapuku.These ready made men girl are someone´s hard work [MENTION][/MENTION]cause there is nothing like that.You cannot get the full-package,there are always some areas we need to work on and improve,so as to make the best out of it no matter what.challenging the Holly books and God him self huh? Impressive blasphemy!
WHY CANT I EXPECT TO BE SERVED? Is it not God himself that said Adam and his kind should labour for their food, and us Eve should suffer upon child birth??????? Are you telling me you now want to challenge God himself wont you? I didnt think so to! THE WORD STILL STANDS NOW AND FOREVER!
Forwomen to work then men should suffer in child birth tooo! Anhaaaaaaaaaaa! I DIDNT THINK SO TOO EITHER!