Hahaha superbug umeongopa, jamiiforums sio trusted source kabisa, watu huandika hisia zao sio facts.
Jingalao, johnthebatist, wakudadavua,mgonjwamtambuka, na wengine wa aina hii nao huleta habari humu, hizo nazo utaita ni credible source za jamiiforums?!
Humu tunaokoteza viatilifu vya taarifa, tunavichakata kupata taarifa.
Kuna mashudu mengi tu humu mkuu.