Advocate_Silayo
Member
- Aug 5, 2019
- 65
- 93
Kabisa aiseeh wasiwe wanawachosha watuHuu ni ukweli kabisa.
Inaonekana wewe ni mtu wa "i dont care" sana kwenye maisha yako,labda nikuambie jambo moja tu la msingi sio kila mtu anaweza kujiajiri na sio kila jambo ni lazima sheria iseme mambo mengine ni utashi tu wa kampuni au taasisi (mtu anaeongoza) upande wa Human Resources kuwezesha hayo mambo yaende smooth, na usikariri kwamba hayo makampuni madogo au taasisi ndogo kuwa haziwezi, binafsi nazifahamu taasisi changa na ziko smart kuliko hayo makampuni umeyataja hapa.1. Siyo sheria kwamba ni lazima ujibiwe. Kama hujajibiwa unatakiwa uelewe kwamba by impliedly you were not meet their criteria...
We jamaa bwana!1. Siyo sheria kwamba ni lazima ujibiwe. Kama hujajibiwa unatakiwa uelewe kwamba by impliedly you were not meet their criteria.
2. Tusipende kulaumu kila kitu. Vitu vingine unaviacha tu vipite tu...
Kuna watu huwa wakishika simu wanaandika tu kila linalomjia kichwani mwake aiseeh, mbaya sana hii hata kama ni uhuru wa maoni ila maoni bila kufikiri nako ni mbaya sanaWe jamaa bwana!
Hiyo lugha uliyotumia hapo kwenye point namba 1,daah1. Siyo sheria kwamba ni lazima ujibiwe. Kama hujajibiwa unatakiwa uelewe kwamba by impliedly you were not meet their criteria.
2. Tusipende kulaumu kila kitu. Vitu vingine unaviacha tu vipite tu...
To all Companies na NGO.....
Mnapotoa tangazo la kazi na kisha watu wakafanya maombi katika hizo kampuni ama taasisi zenu bhasi mkumbuke kuwa mna wajibu wa kuwaoa feedback kwamba maombi yako hayakufanikiwa, msipende kuwaacha watu wakiwa kwenye sintofahamu juu ya maombi yao.
Na amechapia ππππΎHiyo lugha uliyotumia hapo kwenye point namba 1,daah
Hiyo ni janja janja tu wanafanya kwasababu kama wana uwezo wa kukuambia uombe kwa kupitia e mail iwaje leo washindwe kukujibu kwa same e mail kuwa hujafanikiwa kupata kazi?Wengi huandika usipojibiwa ndani ya siku kadhaa consider yourself unsuccessfully. Pia wengine huandika due to high volume of applications hawataweza kujibu applicants wote.
You can't be serious, brother. Ukiwa na haya mawazo kwamba huwezi kujiajiri itachukua sana muda mrefu kufika unapopataka au huenda usifike kabisa.Inaonekana wewe ni mtu wa "i dont care" sana kwenye maisha yako,labda nikuambie jambo moja tu la msingi sio kila mtu anaweza kujiajiri na sio kila jambo ni lazima sheria iseme mambo mengine ni utashi tu wa kampuni au taasisi (mtu anaeongoza) upande wa Human Resources kuwezesha hayo mambo yaende smooth, na usikariri kwamba hayo makampuni madogo au taasisi ndogo kuwa haziwezi, binafsi nazifahamu taasisi changa na ziko smart kuliko hayo makampuni umeyataja hapa.
Revise your ways
Kwa akili yako unadhani kila mtu anatakiwa ajiajiri, halafu swala lingine mimi nina kazi tayari usione kila anaeandika humu ana hilo tatizo sometimes tunaandika matatizo yanayowakuta wengine,panua akili kidogo ukiwa unawaza usiishie mwisho wa pua tu hutaweza jua vingi kwa mtindo huu. Hiyo rate ya kujiajiri kwa watanzania compared to wanaoajiriwa ni percent ngapi so far? Rate ya ajira ya Tanzania unaifahamu kweli au unaongea kwa kujiangalia wewe na tumbo lako baada ya kushiba π€You can't be serious, brother. Ukiwa na haya mawazo kwamba huwezi kujiajiri itachukua sana muda mrefu kufika unapopataka au huenda usifike kabisa.
Kazi yako itakuwa ni kuomba kazi tu na kulalamika kwamba hupewi feedback badala ya kuwaza ni kwa namna gani ujikwamue. 2017- 2018 nilikuwa nafanya kama unavyofanya wewe natuma sana maombi ya kazi ila sikuwahi kuitwa wala kujilishwa kuhusu maombi yangu. Kila siku ni kulalamika tu.
Baadae niliona ni ujinga ikabidi nianze kazi ya udalali wa viwanja, nyumba n.k. baada ya mwaka mmoja nilikuwa nimepiga hatua kubwa sana. Kwa sasa nimejiajiri mwenyewe na sihangaiki tena kuhusu hizo kazi mkuu.
Mkuu pambana ujiajiri acha kulialia . Ukitaka kazi tu za kukaa kwenye kiti cha kuzunguka na full AC utasubiri sana. Najua utakuwa unatuma maombi mengi sana ya kazi na hupati feedback yoyote.
Siku ukiacha hiyo "entitlement mentality" kwa kila jambo ndipo utakapoanza kujitambua mkuu.
Kwa vile wewe ni wakili pambana uwe unajihusisha na uuzaji wa mali ambazo hazihamishiki. Pia kwa muda mwingine uwe kama dalali wa hizo mali na mkusanyaji wa madeni toka kwa watu mbalimbali. Baada ya muda utakuja kunishukuru.