kwa habar nilizopata ni kwamba necta wametangaza kuwa bado matokeo yanaendelea kufanyiwa mchakato yakiwa tayari yataonekana kwenye mitandao ya jamii kuwen na subira 4m four mtafaulu2
au ndo wanakamilisha mchakato wa kuwachakachua waislam kama walivyo fanya mwaka jana?wakirudia ujinga tutamg`oa ndalichako kwa nguvu.tunataka haki itendeke
Labda hakuna idadi ya kutosha kidato cha tano, kwa hiyo wanachonga matokeo yanayowaza kajaza shule za kidato cha tano. Mnasahau walivyofanya darasa la saba kupunguza cut-off point toka 70/250 hadi 40/250?