Tnyary online shop

hero7

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
216
69
Habari!napenda wasilisha ecommerce nimefungua hivi karibuni ningependa pata ushauri kwasasa nafanya delivery door to door kwa dar es salaam but mkoani na delivery japo sio door to door na payment method tigopesa,na mpesa na bank transfer ningependa pata mawazo na ushauri toka kwenu baada ya kuipitia link hii Tnyary
 
Sawa boss. Hivyo vitu mna duka lenu au ni maduka mbalimbali
Nimaduka mbali mbali behind kuna seller but delivery ni 1day mpaka 2day:mfano ukinunua bidhaa saa moja asubuhi mpaka saa saa saba mchana utapata siku hiyo ila ikiwa nje ya apo ni kesho yake utaipata.
 
Kila mtu anaweza kuwa na website kama hiyo, changamoto huja kuitangaza.

Social networks peke yake haitoshi
 
Habari!napenda wasilisha ecommerce nimefungua hivi karibuni ningependa pata ushauri kwasasa nafanya delivery door to door kwa dar es salaam but mkoani na delivery japo sio door to door na payment method tigopesa,na mpesa na bank transfer ningependa pata mawazo na ushauri toka kwenu baada ya kuipitia link hii Tnyary
Site hii kama haujajipanga utafunga ndani ndani ya mwaka mmja tu, kama unahitaji ushauri na upo serious na biashara yako ni pm tuongee maana najua a-z changamoto zake.
 
Nimejaribu kununua kitu imeshindikana inaleta error mwisho kabisa.
Mi nadhani mda huu ungeutumia kujaribu kurekebisha izo bugs kwanza kabla ya kuanza promotion.
Na hakuna tigopesa wala mpesa ambayo ndo rahisi kwa watanzania
Ulipata error gani mkuu na kuhusu tigopesa na mpesa zipo kupitia pesapal
 
paypal not supported, kuhusu mpesa na tigo pesa nakushauri uzitenge mtu alipe kama analipa bili. Pesapal sio maarufu sana.
Pesapal kwa tz haiko support na target sio kuuzia watz pekee but hili la pesapal nimeona ni kweli wengi hawajui inabidi nitoe elimu.
 
Screenshot_2019-02-02-22-14-13-1.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom