TMF iko tayari kulipia matangazo ya Bunge TBC

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,072
Mkurugenzi Mtendaji wa Wakfu wa Tasnia ya Habari Tanzania (TMF) Ernest Sungura amesema taasisi yake iko tayari kugharamia matangazo ya Bunge kupitia TBC ikiwa suala ni ukosefu wa fedha.

Amezungumza hivi sasa kwenye mkutano na wahariri na wamiliki wa vyombo vya habari nchini mbele ya Mkurugenzi wa Maelezo Assah Mwambene na Balozi wa Ireland.

Amesema kwamba lengo la TMF ni kuleta mabadiliko katika tasnia ya habari na kuona wananchi wanapata taarifa.

Awali Bw. Mwambene amesema kwamba serikali watafikiria kupeleka maombi TMF kuomba uwezeshwaji katika maandalizi ya miswada miwili ya sheria za habari ili kupitisha sheria zenye matakwa ya wadau.

Kuhusu hilo, Sungura amesema taasisi yake iko tayari kuisaidia serikali kwenye mchakato huo na hata kuitisha kongamano kubwa la wadau.
 
Kwanza ieleweke wazi kuwa watanzania sio wote wanasiasa kuwa wote wanahitaji kuona bunge tu siku nzima.Watanzania wana intrest tofauti ambazo zinatakiwa ziwe reflected kwenye matangazo ya TBC si swala kuwa mtu akiwa na hela mfano za kulipia kwa ajili ya ngoma ya sikinde basi kutwa ionyeshwe sikinde tu!!!

La pili mida hiyo bunge linaporushwa watu wanakuwa maofisini,mashambani na makazini kwao majumbani kunaweza kuwa wamebaki watoto wadogo ambao hawahitaji vipindi vya bunge wanaweza hitaji katuni za TOM AND JELLY na ni wajibu wa TBC kuwapa hivyo vipindi badala ya vya bunge.
 
Itafika wakati tutapangiwa muda wa kuuziwa na kusoma magazeti
 
Kwanza ieleweke wazi kuwa watanzania sio wote wanasiasa kuwa wote wanahitaji kuona bunge tu siku nzima.Watanzania wana intrest tofauti ambazo zinatakiwa ziwe reflected kwenye matangazo ya TBC si swala kuwa mtu akiwa na hela mfano za kulipia kwa ajili ya ngoma ya sikinde basi kutwa ionyeshwe sikinde tu!!!

La pili mida hiyo bunge linaporushwa watu wanakuwa maofisini,mashambani na makazini kwao majumbani kunaweza kuwa wamebaki watoto wadogo ambao hawahitaji vipindi vya bunge wanaweza hitaji katuni za TOM AND JELLY na ni wajibu wa TBC kuwapa hivyo vipindi badala ya vya bunge.

Bravo
 
Wamevimbiwa tu na pesa za wafadhili.
Wapeleke hiyo pesa Itv
 
Kwanza ieleweke wazi kuwa watanzania sio wote wanasiasa kuwa wote wanahitaji kuona bunge tu siku nzima.Watanzania wana intrest tofauti ambazo zinatakiwa ziwe reflected kwenye matangazo ya TBC si swala kuwa mtu akiwa na hela mfano za kulipia kwa ajili ya ngoma ya sikinde basi kutwa ionyeshwe sikinde tu!!!

La pili mida hiyo bunge linaporushwa watu wanakuwa maofisini,mashambani na makazini kwao majumbani kunaweza kuwa wamebaki watoto wadogo ambao hawahitaji vipindi vya bunge wanaweza hitaji katuni za TOM AND JELLY na ni wajibu wa TBC kuwapa hivyo vipindi badala ya vya bunge.
Pole sana ndugu yangu, pole sana now there is live stream everywhere na sisi tu pekee ndio tumechelewa sana , hivi unajua asilimia ngapi ya watanzania wanakuwa makazini?Hivi unajua ya kuwa kuna maofisa habari kazi yao ni kumonitor what happens, ulimwengu huu news kuwa live ni suala ambalo haliepukiki
 
Good move.....hili nijambo jema sana

kupata habari nihaki yakikatiba hivyo tunahitaji katiba ifuatwe kwa kupewa habari raia kutoka vyombo vya umma.

Kama upo kazin fanya kazi lakin wapo wengine wanafanya kwa shift wataangalia wanapokuwa

Off

shift za jion

shift za usiku

Wapo wagonjwa wataangalia

wapo waliolikizo wataangalia

wapo wafanyabiashara na-tv zao sehemu za kazi wataangalia

wapo watu mahotelin katika safari wataangalia

wapo wakulima wanaolima alfajiri mpaka saa tano wataangalia

Bunge lirushe live muda wote kukidhi

1. matakwa ya kikatiba

2. kutupatia mrejesho wapiga kura nini wanafanya wabunge wetu

3. kutufanya raia kuelewa zaid kuhusu utendaji wa serikali yetu

4. kuondoa utata na upotoshaji nje ya bunge...maana kila mmoja wetu atakuwa amejionea ukweli.

...................
 
Kwanza ieleweke wazi kuwa watanzania sio wote wanasiasa kuwa wote wanahitaji kuona bunge tu siku nzima.Watanzania wana intrest tofauti ambazo zinatakiwa ziwe reflected kwenye matangazo ya TBC si swala kuwa mtu akiwa na hela mfano za kulipia kwa ajili ya ngoma ya sikinde basi kutwa ionyeshwe sikinde tu!!!

La pili mida hiyo bunge linaporushwa watu wanakuwa maofisini,mashambani na makazini kwao majumbani kunaweza kuwa wamebaki watoto wadogo ambao hawahitaji vipindi vya bunge wanaweza hitaji katuni za TOM AND JELLY na ni wajibu wa TBC kuwapa hivyo vipindi badala ya vya bunge.
NI MAWAZO YAKO. LAKINI KUMBUKA HATA MAOFISINI KUNA TV. LABDA MAHAKAMANI! HIVI HIYO SAA NNE MPAKA SAA TANO YA TBC KUONESHA SI WATU WANAKUWA WAMELALA?! NI BORA KUWATANGAZIA WALIOLALA?!
 
Khaaa. Unaniangusha mkuu. Huhitaji kuwa mwanasiasa ili uangalie bunge. Mbona tunapojiandikisha na kupiga kura huwa hatusemi wanasiasa ndio wajiandikishe? Issue ilikuwa pesa haipo, sasa imepatikana. Hiyo pesa itasaidia TBC kujiwezesha.
 
Kwa hiyo kumbe kwako wewe bunge ni siasa!!? Na kwa utetezi huu dhaifu kumbe tatizo halikuwa kubana matumizi bali ni watoto kuona Tom & Jerry? Hiyo miaka ya nyuma kabla ya kuja serekali hii inayotaka kusifiwa tu bila kuambiwa ukweli wananchi wote walikuwa ni wanasiasa na hawakuwa na intrest tofauti? Ona aibu wakati mwingine ndugu kwani njia ya mwongo ....
 
TBC ianzishe channel iitwe TBC Parliament, haizekani TBC ikawa inarusha bunge siku nzima hivi hakuna mengie ya muhimu ambayo taifa linatakiwa kuyaona? BBC wanachannel nyingi kuliko TBC lakini hata hizo channel zinarusha live mara moja kwa wiki ama kutokee motion muhimu ndipo itakua live na hili ni shirika kubwa kuliko yote duniani linalomilikiwa na serikali na kulipipiwa na wananchi pia kupitia TV Licence. Hivi watu wanatafuta kick ama nini kuendeleza hili swala la Live coverage ya bunge? Kwa maoni yangu naomba serikali ianzishe kulipisha watu TV licence. Lakini kabla ya kuanza hii kodi ya TV waweke referendum Swali liwe Malipo ya TV Licence ili tuweze kuona Live coverage ya bunge Ndiyo ama Hapana. nina imani wote wataalamu wa kuandika humu ndani nyuma ya pazia ya keyboard watakua wa kwanza kusema Hapana
 
Mie naona kuliko kuyumbishana na serikali kupitia hiyo TBC wakubaliane na Television zingine kama ITV, Channel ten au Star ili malipo yafanywe kwao na Bunge liwe hewani.
Afterall mara nyingi bunge huwa ni wiki mbili mbili ukiacha kikao cha bajeti ambacho ndio kirefu. Watu wanataka kuona maoni yao Bungeni na majibu ya serikali bila kuchujwa kwa habari hizo. Haiwezekani bunge liwe toka saa tano mpaka saa mbili usiku halafu habari zake ziwekwe kwenye kipindi cha saa moja tuu.
 
Khaaa. Unaniangusha mkuu. Huhitaji kuwa mwanasiasa ili uangalie bunge. Mbona tunapojiandikisha na kupiga kura huwa hatusemi wanasiasa ndio wajiandikishe? Issue ilikuwa pesa haipo, sasa imepatikana. Hiyo pesa itasaidia TBC kujiwezesha.
yaani huyo jamaa cjjui wa wapi
 
Kwanza ieleweke wazi kuwa watanzania sio wote wanasiasa kuwa wote wanahitaji kuona bunge tu siku nzima.Watanzania wana intrest tofauti ambazo zinatakiwa ziwe reflected kwenye matangazo ya TBC si swala kuwa mtu akiwa na hela mfano za kulipia kwa ajili ya ngoma ya sikinde basi kutwa ionyeshwe sikinde tu!!!

La pili mida hiyo bunge linaporushwa watu wanakuwa maofisini,mashambani na makazini kwao majumbani kunaweza kuwa wamebaki watoto wadogo ambao hawahitaji vipindi vya bunge wanaweza hitaji katuni za TOM AND JELLY na ni wajibu wa TBC kuwapa hivyo vipindi badala ya vya bunge.
Nimekupata mkuu. Na huo ndio ukweli
 
TBC ianzishe channel iitwe TBC Parliament, haizekani TBC ikawa inarusha bunge siku nzima hivi hakuna mengie ya muhimu ambayo taifa linatakiwa kuyaona? BBC wanachannel nyingi kuliko TBC lakini hata hizo channel zinarusha live mara moja kwa wiki ama kutokee motion muhimu ndipo itakua live na hili ni shirika kubwa kuliko yote duniani linalomilikiwa na serikali na kulipipiwa na wananchi pia kupitia TV Licence. Hivi watu wanatafuta kick ama nini kuendeleza hili swala la Live coverage ya bunge? Kwa maoni yangu naomba serikali ianzishe kulipisha watu TV licence. Lakini kabla ya kuanza hii kodi ya TV waweke referendum Swali liwe Malipo ya TV Licence ili tuweze kuona Live coverage ya bunge Ndiyo ama Hapana. nina imani wote wataalamu wa kuandika humu ndani nyuma ya pazia ya keyboard watakua wa kwanza kusema Hapana

Kuna TBC2, hakuna cha maana inachorusha. Kumbuka Bunge ni kipindi Mahsusi, yaani miez 2 na siku kadhaa, wakati mwingine ni week2 tu. Hivyo kuliko kurusha Chereko, ni bora kurusha Bunge hasa kama kweli mfadhili kapatikana
 
NI MAWAZO YAKO. LAKINI KUMBUKA HATA MAOFISINI KUNA TV. LABDA MAHAKAMANI! HIVI HIYO SAA NNE MPAKA SAA TANO YA TBC KUONESHA SI WATU WANAKUWA WAMELALA?! NI BORA KUWATANGAZIA WALIOLALA?!
Niliwah kuskiza siku moja nikiwa kwenye daladala saa 4,michango ya wabunge nadhan ilikua ikipata airtime ya dk 1 au moja na nusu
 
Back
Top Bottom