figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Kesha anza !
Unayo haki ya kumpuuza.Hebu atueleze rais kavunja sheria ipi? Vinginevyo apuuzwe tu,
Kama unataka kumpuuza mpuuze kwa maamuz yako binafsi ...sema nampuuza na sio apuuzwe ..usiwawekee watanzania maneno...watanzania wana akili hawawekewi manenoHebu atueleze rais kavunja sheria ipi? Vinginevyo apuuzwe tu,
LAZIMA TLS ITOE TAMKO MAANA NI MOJA YA KAZI YAKE....HIVI WEWE UNAIJUA HISTORIA YA TLS VZURI KWA TAARIFA YAKO TLS ILIKUWEPO KABLAAA HATA YA TANU.....Hebu atueleze rais kavunja sheria ipi? Vinginevyo apuuzwe tu,
tamko liko too low kutolewa na wanasheria na chama kama TLS ilitakiwa lisomeke kuwa we demand truth from both sides be established and if makonda is found to be guilty necessary action should be taken as per law of the Land. Kama hili tamko ni kweli ni la governing council ya TLS ni majanga walioshika hivyo vyeo are not learned brothers ila walikariri waliyosoma kufaulu mitihani tu. Tamko hili liko below Sea level ya kisheria ni la kichadema zaidi kuliko kisheria
Ameanza kiherehere cha siasa za uchadema kwenye TLS, na tulishasema mapema juu ya hili.Ni.moja ya kazi yake
Amemuunga mkono alievunja sheria!Hebu atueleze rais kavunja sheria ipi? Vinginevyo apuuzwe tu,
Hakuna cha CCM wala nini you can't Judge anybody kuwa yuko wrong until it is proved beyond reasonable doubt by the court of Law.Hiyo governing council Kama kweli Ndio illyotoa hilo tamko it is not a legal material mmechagua wanywa virobaAh ah CCM mmeanza na chokochoko zenu dhidi ya TLS, mlizoea mda wote ikiwasifia sasa mpaka mwaka uishe mtakuwa nywele zimewachachamaa, nadhani ungeenda mahakamani ili kuyaADRESS hayo otherwise hayana mashiko