UK Government Report.
Pfizer vaccine adverse reactions
Execution date: March 4, 2021
* Blood disorders: 2,033
* Cardiac disorders: 1,032
* Congenital disorders: 3
* Hearing disorders: 713
* Endocrine disorders: 10
* Eye disorders: 1,242 (12 blinds)
* Gastrointestinal disorders: 9,360
* General disorders: 26,391
* Liver disorders: 17
* Immune system disorders: 466
* Infections: 1,863
* Injuries: 393
* Continued Investigations: 965
* Metabolic disorders: 525
* Muscle-tissue disorders: 11,565
* Neoplasms: 20
* Nervous System Disorders: 16,107
* Associated with pregnancy: 29
* Psychiatric disorders: 1,235
* Renal / urinary disorder: 187
* Syst. Reproductive: 338
* Respiratory disorders: 3,575
* Skin disorder: 6,042
* Vascular disorders: 992
* Dead: 212
* Medical and Surgical Procedures: 45
* Coronavirus (COVID-19) vaccine adverse reactions
🚩What's disturbing is this is a weekly report😳
Kwani umekwenda kwake ukamkosa!? Au wwe unasubiri hadi umuone kwa Mitandao!?Yuko wapi mzee baba.
Chanjo ingaliweza kumsaidia.
Lini tunasikia toka kwake?
Kwani umekwenda kwake ukamkosa!? Au wwe unasubiri hadi umuone kwa Mitandao!?
Yes Median MwaleMwale
Ni mwendo wa barakoa tuChama cha mawakili Tanganyika (TLS) kimepata pigo baada ya aliyekuwa mwanachama cha Chama hicho wakili Loomu Ojare kufariki dunia ghafla akiwa kazini.
Ojare alifariki dunia na kuzikwa nyumbanj kwake mapema skku kadhaa zilizopita baada ya kuugua ghafla akiwa kazini na hivyo kuacha pengo kubwa katika tasnia ya sheria.
Mwenyekiti wa chama cha mawakili wa kujitegemea Kanda ya Arusha Elibariki Maeda akiiwakilisha TLS katika ibada ya kumuaga Ojare alisema kifo cha Ojare ni pigo kwa Chama na wanachama wa chama hicho kwa kuwa alikuwa akishirikiana vizuri na mawakili wenzake
Ojare alizaliwa mwaka 1953 na alifanya kazi kama mwanasheria wa serikali katika maeneo mbalimbali ambapo mwaka 1983 alianza kufanya kazi kama wakili wa kujitegemea hadi umauti unamkuta.
View attachment 1726968
Yap alikuwa yy na Midian MwaleNakumbuka ile kesi ya majambazi wa NMB moshi na nyinginezo za jinai ndio ilikua mishe zake.
Mke wake alimuua house girl halafu mzee akamtetea mpaka akatoka....hope ni huyu OjareYap alikuwa yy na Midian Mwale
Magufuli anawapenda wa Tanzania wote,na anawasalimia sana!!Kwake ipi ulipokwenda ukamkuta? Chattle, magomeni na chamwino kote kweupe.
Tumekuwa wa kutumiwa salamu akiwa kusikojulikana.
Vipi wewe hajakupa salamu zetu?
Magufuli anawapenda wa Tanzania wote,na anawasalimia sana!!