Hilo la mwisho ndio lililopo kichwani mwakoHapa nchini hatuna Nchi inayoitwa Tanganyika. Kwa sababu ambazo ni Classified Tanganyika ilipotea kimagirini magirini.
Lakini leo kipo chama cha mawakili wa Tanganyika. Hawa wana wakilisha Eneo lipi ambalo kikatiba linatambulika?.
Msiseme nimeumizwa kwa Fatma Karume kushinda Uraisi wa TLS. Najihami mapema ohooo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bila Tanganyika hautakuwa na Tan/Za, hata hivyo si jina haramu ndiyomaana ipo wilaya ya Tanganyika, ujue jina halina uhusiano na nchi kwani kuna watu wanaitwa Tanganyika hivyo nakushauri lete mada ya watu wazima na si ya watoto wa shule.Hapa nchini hatuna Nchi inayoitwa Tanganyika. Kwa sababu ambazo ni Classified Tanganyika ilipotea kimagirini magirini.
Lakini leo kipo chama cha mawakili wa Tanganyika. Hawa wana wakilisha Eneo lipi ambalo kikatiba linatambulika?.
Msiseme nimeumizwa kwa Fatma Karume kushinda Uraisi wa TLS. Najihami mapema ohooo.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Well but Tuna Zanzibar na Tanzania kama serikali mbili tu. Kwanini hawa jamaa hawajajiita Tanzania L.S. maana tuna serikali mbili. Inge sound zaidi kulingana na muundo wa Dola mbili?Usimtukane wala kumdharau usiyemjua/aliyeomba msaada. Ndugu yangu,tanganyika ipo. Ila linapokuja jambo la muungano tunakuwa ni TANZANIA. Wamejiita TLS kwasababu kula upande wa zanzibar wao wana ZLS. Ila kama ingekuwa taasisi ni moja tu basi tungetumia TANZANIA LAW SOCIETY. Ni hayo tu mheshimiwa!!.