...Tiwawoniii.........Yeooooooooo!! Karibu mgatii mlongo wangu!!!Tiwawoni maana yake ni habari zenu,
mimi nawasalimu na ninaona mnipokee,
asante
Kachoki
Wakunyumba Kachoki?
..Bambo wa kunyumba...!!, Chimu na wewe ndio huko huko nini??Wakunyumba Kachoki?
..Bambo wa kunyumba...!!, Chimu na wewe ndio huko huko nini??
...chabwina sana mlongo wangu.. na muyako nihuma ku-lipaya..ena chimu wa kumatogoro
ebanaeeeeeeee, hadi MM nae ni wa kunyumba??, nyumbi hii bombi hii!.yeo bambu.. karibu mgati; za kunyumba huko kwa bwina? Uwaleke wuli valongo wangu?
ebanaeeeeeeee, hadi MM nae ni wa kunyumba??, nyumbi hii bombi hii!.
jamani ndo lugha gani hiyo ?