Titanic!

Hahahaa hii inanikumbusha dogo mmoja wa shoga alipokula kibano na walimu akasema "nyie mnaniona mimi kama mwanaume lakini mimi ni mwanamke kama wanawake wengine tu jamani msinipige hivyooo"
Hahahahahaaa kila nikimkumbuka huwa nacheka tu mana yule hata kumhurumia haisaidii aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…