Titanic sunk by steering mistake, author says

Titanic sunk by steering mistake, author says

kila mtu anakuja na theory yake, hata mimi nikijipanga ntakuja na theory yangu na mtaamini
 
so kuna connection kati ya jesuits na roccaffer
 
Mh I have got used to different conspiracy theories. By the way the main goal of these theories is just to make your brain occupied with un imagnable things.
 
kuna kitabu kinaitwa the secret terrorists kwenye chapter 5 kinaelezea kuzama kwa titanic,hiyo chapter 5 unaweza kuisoma hapa
 
kila kitu mnawasingizia freemanson(illuminat) lol
 
sijaelewa connection ya vatican, riches guy who later die in the tatanic and the likes of rockfeller and piers morgan! kwani hao kina rockfeller si wangewaua tu hao riches guy bila kuwahusisha vatican? ok kuanzisha hiyo bank kama hao matajiri hawataki so what si wangeanzisha tu kwan walikua na mamlaka gani ya kuwazuia? and lastly relationship ya vatican na kina rockfeller ni ipi ili washirikiane kuanzisha iyo bank? wao kama vatican wangefaidika na nini mbona haikuanzishwa uko vatican eventually?
 
please fuata ile link ambayo imewekwa katika post#17
na malluli mj
 
1394297133392.jpg
 
They say all road goes to Rothschild via Vatican
 
Habari wakuu.
nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kuhusu ile meli ilowahi kuzana ikijulikana kwa jina la Titanic.maswali yenyewe ni kama ifuatavyo

1.ni nani alikiwa mmiliki wa meli ile?

2.ile story ya jack na rose kama walivyoigiza kama wahusika wakuu,je ni story ya kweli ambayo ilikuwa kwenye tukio halisi?

3.je ni idadi ya watu wangapi walikuwa ndani ya ile meli?

tuanze na hayo wakuu,naamini kuna watu wanaifahamu sana issue hii.Asanteni.
 
Ni true story. Mmiliki, idadi ya watu waliokuwemo sijui.
 
ingia kwenye mtandao utapata kila kitu.ni story ya kweli kabisa
 
mkuuu achana kabisa na kucheza na mungu jamaa baada ya kumalizika uundaji wa meli ile aliitwa na waandishi wa habari akahojiwa na kuongea zarau sana kuwa ni imara sana na haiwezi kuzama kamwe na hata mungu hawwzi izamishi kilicho tokea ndio hiyo story
 
Back
Top Bottom