TISS ya Diwani Msuya kama CIA na Mossad, hongera sana Director General

Nani alikwambia moassad na CIA wanalinda marais.. na mabunduki..

Ninafuatilia sana utendaji wa kazi wa kikosi cha ulinzi wa viongozi wa taifa letu, hakika umeimarishwa. In terms of equipments yaani wana madude yanatisha!. Lile gari lenye maminara kibao linafanan na magari wanayotumia akina Trump na akina Puttin. Hakika sasa tunajivunia kuwa viongozi wetu wanalindwa. Hongera sana Kamishna mTISS Diwani hakika kazi yako imesimama. Sisi wananchi tunajivunia kuiona TISS iliyosimama haswa
 
Shida yao tu ni kushindwa kujua tofauti ya ccm na Tanzania
 
Boss waache tu hawa, wamesahau kanga zenye udaku wanakuja humu.

Mosad huwa wanafuata mifupa ama mafuvu ya watu wao kwa gharama yeyote ile, nyie watanzania wagonjwa waliokuwa matibabu India, pamoja na wanafunzi toka China wamefuatwa kwa gharama zao tena mara mbili ya bei halisia na baada ya kusubiri kwa muda. Hao jamaa zetu walikuwa wapi? Hata ndege inafuata dawa madagascar ila raia wako stranded India!!!
Mkuu Ile ilikuwa dawa au utopolo? Kiongozi wa wanyonge anawajari hao wanyonge mdomoni tu
 
Ninafuatilia sana utendaji wa kazi wa kikosi cha ulinzi wa viongozi wa taifa letu, hakika umeimarishwa. In terms of equipments yaani wana madude yanatisha!. Lile gari lenye maminara kibao linafanana na magari wanayotumia akina Trump na akina Puttin. Hakika sasa tunajivunia kuwa viongozi wetu wanalindwa. Hongera sana Kamishna mTISS Diwani hakika kazi yako imesimama. Sisi wananchi tunajivunia kuiona TISS iliyosimama haswa.
TISS ya kipilimba uliona kiongozi gani alidhuriwa?

wewe ni mshamba sana na ni MATAGA, unataka kuleta mambo yako ya huko ushetu kwenye sayansi ya ulinzi, ulishawahi kusikia ama kuona TRUMP, AMA Netanyahu wamezungukwa na walinzi wenye manguo ya jeshi na mavyeo?
Ulihawahi kuona walinzi wao zaidi ya vijana waliovaa suti na miwani tintedi?
aa.jpeg
aa.jpeg
aaa.jpeg
aaaa.jpeg
 
Ninafuatilia sana utendaji wa kazi wa kikosi cha ulinzi wa viongozi wa taifa letu, hakika umeimarishwa. In terms of equipments yaani wana madude yanatisha!. Lile gari lenye maminara kibao linafanana na magari wanayotumia akina Trump na akina Puttin. Hakika sasa tunajivunia kuwa viongozi wetu wanalindwa. Hongera sana Kamishna mTISS Diwani hakika kazi yako imesimama. Sisi wananchi tunajivunia kuiona TISS iliyosimama haswa.
We unaongea matapu tapu gani mataga? Il gari ilikuwepo kabla diwani hajafika pale alipo
 
Ninafuatilia sana utendaji wa kazi wa kikosi cha ulinzi wa viongozi wa taifa letu, hakika umeimarishwa. In terms of equipments yaani wana madude yanatisha!. Lile gari lenye maminara kibao linafanana na magari wanayotumia akina Trump na akina Puttin. Hakika sasa tunajivunia kuwa viongozi wetu wanalindwa. Hongera sana Kamishna mTISS Diwani hakika kazi yako imesimama. Sisi wananchi tunajivunia kuiona TISS iliyosimama haswa.
Nilijua kwa sasa wanafanya ujasusi wa kiuchumi kumbe ni magari tu ya kujilinda wao? Kwani tuko vitani mkuu
 
Hizo hizo miwani ndio zinakufanya wewe ulale na kujambajamba hovyo huku ukicoment uharo namna hii ukiwa huru kabisa!

Kiufupi matapishi yote unayotapikaga humu ni kwa sababu kuna wanaume wenzio wanafanya iwe hivyo!
Sio kweli acha uongo. Naamini Tanzania tuko salama bila hata hicho unachosema.
 
Ninafuatilia sana utendaji wa kazi wa kikosi cha ulinzi wa viongozi wa taifa letu, hakika umeimarishwa. In terms of equipments yaani wana madude yanatisha!. Lile gari lenye maminara kibao linafanana na magari wanayotumia akina Trump na akina Puttin. Hakika sasa tunajivunia kuwa viongozi wetu wanalindwa. Hongera sana Kamishna mTISS Diwani hakika kazi yako imesimama. Sisi wananchi tunajivunia kuiona TISS iliyosimama haswa.
Wakati lisu anapigwa risasi huyu bwana Diwani alikuwa na cheo gani? Kumbuka alipopigiwa risasi ni maeneo ya viongozi
 
Back
Top Bottom