TISS ya Diwani Msuya kama CIA na Mossad, hongera sana Director General

Ile gari haiangaliii Usalama wako ni ya Usalama wa Rais
Usalama wa Taifa ni Dhana pana Sana
Wanatakiwa kubaini hadi hujuma kwenye mbegu zenu bora za mazao au chanjo feki za mifugo
Rais ni most potential referent object bro when comes to grading potentiality of those referent objects
 
Ninafuatilia sana utendaji wa kazi wa kikosi cha ulinzi wa viongozi wa taifa letu, hakika umeimarishwa. In terms of equipments yaani wana madude yanatisha!. Lile gari lenye maminara kibao linafanana na magari wanayotumia akina Trump na akina Puttin.

Hakika sasa tunajivunia kuwa viongozi wetu wanalindwa. Hongera sana Kamishna mTISS Diwani hakika kazi yako imesimama. Sisi wananchi tunajivunia kuiona TISS iliyosimama haswa.
Bwana asipoulinda mji, walindao wakesha bure. Tunapaswa kumtukuza M/Mungu anayewawezesha kutimiza ipasavyo majukumu yao.
 
Ninafuatilia sana utendaji wa kazi wa kikosi cha ulinzi wa viongozi wa taifa letu, hakika umeimarishwa. In terms of equipments yaani wana madude yanatisha!. Lile gari lenye maminara kibao linafanana na magari wanayotumia akina Trump na akina Puttin.

Hakika sasa tunajivunia kuwa viongozi wetu wanalindwa. Hongera sana Kamishna mTISS Diwani hakika kazi yako imesimama. Sisi wananchi tunajivunia kuiona TISS iliyosimama haswa.
Acha kufanisha mossad and cia na vitu vya hovyo.
 
Idara ya sasa iko imara, Tanzania iko imara kwa sababu wanaume wapo kazini masaa 24.

Pongezi kwa Mh. Rais kwa kuiwezesha zaidi idara ya usalama wa taifa pia pongezi zangu za dhati ziendee kwa Mkurugenzi wa idara aliemaliza muda wake Modestus Kipilimba kwa kuifanya iwe ya kisasa zaidi na Boss mpya Diwani Athumani kwa kusimamia maadali ya taasisi hii nyeti.
Muhimu tu wawe wazalendo kwa Taifa na sio Chama fulani
 
Unasifia ulinzi wa viongozi ndo unatoa hongera? Nilitegemea usifie jinsi wanavyofanikisha ulinzi wa rasilimali za taifa, ulinzi wa uchumi wa Taifa.

Kweli nchi hii imejaa wajinga sana.

Wanashindwa hata kushauri vizuri uchumi uende sawa tumeishia kuua ajira, soko la korosho, mauzo ya mazao na uwekezaji alafu unakuja kusifia maujinga hapa!

Embu kalale
 
Back
Top Bottom