Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 6,978
- 14,551
Unaweza nitajia kampuni unazozifahamu za watanzania wazawa ambao wapo china wanachimba madini, kulima, au kununua bidhaa ghafi tukiachana na hawa ambao wananunua bidhaa za viwandani yaani madalali wa viwanda vya bidhaa?Wapo Watanzania wengi tu wamefungua biashara nchi za nje, na hizo nchi hazijaja na hizi hoja za kulinda wazawa ikiwemo hiyo China, Je wachina nao wafukuze watanzania waliopo huko china wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na wachina?
![](http://emoji.tapatalk-cdn.com/emoji848.png)