TISS haivunjwi kwa kukurupuka kama taasisi nyinginezo

nchonga aliyebaki

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
574
833
Wanabodi heri ya sikukuu ya pasaka,
ni Muda muafaka wa mabadiriko ya Usalama wa Taifa,
Kumekuwepo na shinikizo toka kwa watu wasiolewa kiundani masuala ya usalama wa taifa na marekebisho yanayofanyika, kwa upande wangu sipingi kuvunjwa au kurekebishwa kwa usalama wa taifa Na baadhi ya sheria zinazohusu taasisi hiyo nyeti,

SABABU ZA KWANINI IVUNJWE
1.Kutumika au kuhisiwa kutumika kutesa Na kunyanyasa watu
2. Kufumbia macho mambo ya kitaifa yanayoendelea kama utekaji na upoteaji wa baadhi ya watu
3. Wizi unaoanyika katika taasisi mbali mbali
4. Kufoji vyeti Na kuvitumia kwa muda mrefu kwa baadhi ya watumishi wa UMMA, usalama ulipaswa kuwatambua siyo kusubiri agizo la rais,
5. Kuwepo kwa wafanyakazi Na wanafunzi mpaka kaya hewa , bila juhudi zozote toka usalama wa taifa kufanyika,
6. Mipaka ya nchi Yetu inatumika kuingiza watu hovyo , kuna wengine so watanzania lakin wapo katika taasisi nyeti , wengine ni maaskari mpaka muda huu na ni wanyarwanda, majina ninayo yakihitajika ntayataja,
7. Waamiaji haramu wengine wanna mpaka silaha za moto,
8. Machapisho na uzushi unaochapaishwa na baadhi ya vyombo vya habari Na kufumbiwa macho,


NJIA ZA KUIFANYIA MAREKEBISHO TAASISI HII
Hata siku moja usidhan kuwa utasikia unaambiwa kuwa usalama wa taifa umefumuliwa hata siku moja, mipango hii huwa ni siri hata wahusika huwa hawajuhi kama wamefumuliwa ila huwa unawekwa pembeni taratibu sana, bila kujua unaacha kutumiwa kwa baadhi ya mambo ya Msingi

Kama ni kamishna mkuu hustaafishwa na kupisha Mwingine , hapa yakitumika maamuzi ya kukurupuka itakuwa tatizo Kubwa sana , maana hawa wana usalama wakiamua nchi iende mrama wanaweza , au wakiamua kupindua ni suala dogo sana,

Hivyo katika kila taasisi ambayo inaweza kudhuru taifa kama vile vyama vya siasa ,kila kipindi Fulani hupandikizwa vijana na mbaka wanakuwa wenyeviti wa vyama hivyo lengo ni kuhakikisha hakuna baya linapangwa Na vyama hivyo juu ya taiga,
Ndo maana CHADEMA kuna Mbowe tokea mwaka 1976 yuko idara nyeti Hii,
TLP yupo Augustine Mrema,
NCCR yupo ,
ACT yupo mkumbo kitila Na zitto kabwe,

Jiulize kwanini kuna mambo yanatokea juu ya vyama vyao wanaweza kukaa kimya wakati ni mambo nyeti, au wanaweza kuisema Na kukashfu serikali wanaishia kuhojiwa tu, lakin engine kina lema wakisema kidogo tu miezi selo,

Taasisi Nyingine ni B.O.T hawa ndo wanaangalia mwenendo wa benki kuu Na taasisi husika
Ndio walimpatia taharifa za wafanyakazi hewa Na CV fake, mkulu,

Kuna taasisi za shule Mara nyingi wakuu wa shule huwa ni mashushu,

Wakuu wa idara mbali mbali

Inahitajika kuwatoa kwa hawamu Na taratibu wakati wakiandaliwa wengine, kuwapata usalama was taifa siyo kitu cha siku moja wanahitaji kuandaliwa sana, wabobee , wajue kodi Na ishara zao, watambue lugha zao za maficho, mbinu zao za kujua ukweli,

Napoongea haya najua KOMRED MWIGULU , POLE POLE, MTATIRO mnanielewa,


Note usalama wa taifa unahitaji mabadiliko,
 
Back
Top Bottom