Tishio la Ukame: Kuna haja ya serikali kutangaza ukame kama janga la kitaifa.

SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
7,106
8,044
Hali inatisha kiujumla nchini.

Jitihada za haraka zinahitajika, kwani kuna baadhi ya maeneo nchini hayajapata mvua tangua mwaka jana (2015) Aprili.

Mifano halisi

>Wilaya ya Chalinze, mkoa wa Pwani , Ng'ombe zaidi ya 1000 with ameripotiwa kufa kwa njaa.

>Mkoani Morogoro, ng'ombe zaidi ya 15,000 wameripotiwa kufa kwa njaa.

Bei za vyakula hazikamatiki katika baadhi ya maeneo nchini ( kilo moja ya sembe chalinze ni kati ya 1,600-1,700),.. (Arusha kilo moja ya sembe na dona ni kati ya 1,600-1,800)..n.k.
 
Back
Top Bottom