Tishio la mgomo wa Mabasi

Tishio la mgomo wa Mabasi

Void ab initio

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
5,731
Reaction score
5,672
Baraza la ushauri limetahadharisha juu ya mgomo wa mabasi na kusema kuwa viongozi wa TABOA hawana mamlaka ya kuitisha mgomo kwasababu sio chama cha wafanyakazi.

Chanzo;Channel Ten
 
wagome tu mbona wao STK SU STJ STL azilipiwi ushulu..ushulu wa basi ni milioni 95 si upuzi uo wanataka tunyonye sisi wasafiri
 
Back
Top Bottom