Tisha mbaya Baab..

Ooyooo huyu babu kwa umri wake inaonisha aliwahi kumuwona huyo yesu na pengeni nai yumo katika wale wanafunzi wa yesu na alipo wa aga sasa anakwenda kwa baba na hapo sijui huyo baba ni nani
 
Ooyooo huyu jamaa ukipishana mida ya usiku inabidii utoi kafara ya kuku mweusi na hasa sehemu ya maji matitu
 
Ooyooo wana jamii hii mada mbona mmeipa kisogo hii ni ya maana sana kwa sababu huwo msalaba una kilo nne hivi na sioni sababu ya kuichangea au mpaka awe mademu ndo muwe mnapapatika na kumsifia ni mzuri sasa mnaona ni kizee mwitu
 
Ooyoo patrickn nina ombi moja hibu fanya mpango wa kumleta maeneo ya kariakoo ili tufanye mahojiana na huyu mwanafunzi wa yesu ili nasi tuwe na akili kama yake ya kuvaa hiyo nanga ya meli kama ya titinak na mahojiana yakianza tutamchanigea pesa angalau aendi saloon akatoi hivo vimvi maana vinamtia kero na huku tena kabeba hilo gogo la mali asili na sijui ancho kibali cha hilo kigogo na ombi langu tuzidi kuchangea ili tupati elimu kubwa ya huyu babuna tena anausiri na yesu msiepi kisogo jamani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…