duh hata kama una shida na hayo makaratasi,lakini hapa itabidi uwe na roho ngumu kama jiwe kuweza kustahimili maisha ya pamoja ya kila siku si chini ya miaka 2 na bibie kama hawa.Labda huyo wa kulia kidoogo,lakini hata naye pia duh,imagine kwanza ni interracial relationship,public iko curious kuwaona kwanza kwa sababu ya tofauti ya rangi zenu tu,halafu ndiyo na hili bwanyenye mna hold hands mtaani mchana kweupee duh.