Nimeona ni share na wale tuliojaaliwa kumiliki haina hii ya amaizing toyota soloon car i mean brevis.
Kwanza niseme kuwa nimeimilki hii gari sasa kama two years na nilikuwa naifanyia tafiti mbalimbali kuhusiana na hii gari na pia before kuwa na hii gari nishawahi kuwa na saloon car zingine kama gx110 ya 2004, mark x 2006 na baadhi ya vi baby walker like spacio new model nk.
Kikubwa ninachotaka kusema ni kuwa brevis ni zaidi ya hz saloon car za kijapan hususani kwenye ulaji wa mafuta kwa maana inauwezo wa kwenda up to 11km/litre kama ukizingatia vitu vifuatavyo
1-unaifanyia service kwa wakati kwa ma ya kila 3000km au chini ya hapo kwa sababu hz gari huwa ni za muda mrefu so ili kuendelea kuipa uhai injini unashauriwa kufanya km tajwa hapo juu na oil bora ni ya multgrade ya bp asikudanganye mtu kuifanyia km 5000 hzo ni kwa ajili ya gari mpya hata kama anakuambia kuna oil ya km 5000.
2-unatumia mafuta bora kwa maana ya unleded ambayo mostly yanapatikana vituo vya puma, total, gapco..
3-epuka gari kuwa na mafuta machache hakikisha inakuwa alwayz full tank
Hapa nitazungumza kidogo kitaalam
Ni kwamba gari inapokuwa full tank inapungza uwezo wa mafuta kupotea kwa njia ya hewa sababu ya ile space inayokuwa wazi kwenye tank
Hivyo ni bora kila yakipungua kdogo kama hali inaruhusu unajazia utaifurahia hii gari kwa kweli.
4-epuka kuendesha zaidi ya spidi 100/km per hr na hakikisha rpm kwa maana ya mzunguko wa injini usizidi 3000 we cheza na 2500 ukizidisha utaichukia coz overspeeding result into overconsption
Ni hayo tu 4 more info njoo pm nikupe maujuzi zaidi.