Tips 6 za kuchepuka

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4,644
Reaction score
3,323
1. Usipokee simu ukiwa na mke wa mtu, unaweza kuwa unafuatiliwa ili uuliwe fala wewe.

2. Usitumie gari yako inayofahamika, chukua Taxi, UBER, bajaj au boda boda kuku wewe.

3.Usiandikishe jina lako sahihi ukiwa gest, tafuta jina bandia, andika hata Kinjekitilie Matinginya ng'ombe wewe.

4. Funga chumba na funguo kwa ndani ikiwemo komeo, ziba kitundu kile cha funguo kwa nguo mbuzi wewe.

5. Mkimaliza uzinzi wenu, msitoke wote kwa pamoja, tangulia mwanaume kuangalia usalama, baada ya dakika 10 ukiona usalama, ndipo umruhusu mchepuko naye atoke, wakati huo umeshamtengenezea mazingira ya usafiri wa kumrudisha nyumbani panya wewe.

6. Mungu akuumbue, ukamatwe na upigwe hadi ufe pumbavu wewe. Kwani wanawake wengine hujawaona mpaka udandie mke wa mtu?
 
Hahahahaha, MKUU we ng'ombe kabisa,bado zipo nyingi sana hujazitaja.Endelea kutaja we kima.....
 
Yaani no.1-5 si ungewaambia tu wasichepuke!?

Sasa no.6 ndiyo umeandika/kushauri nini?
 
Sogea tuishi wamejaa mjini hapa kila kona ni kuvuta tu na kufukuza nihangaike na mke wa mtu nigundue nini nyumbu wewe
 
Yaani wanaume ni raha sana, unapewa mbinu kama unatukanwa kumbe ndiyo maupendo ya kiumeni.

1 -5 tumekuelewa ila hiyo 6 kaa nayo mwenyewe mende wewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…