Mnyamwezi wa Urambo
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 928
- 275
Mimi nilifikiri suala hapa ni kwamba Acid is concetrated or diluted na siyo kua ni Nitric, Sulphuric, Hydroclolic etc. Kama ni conc ukubwa wa madhara yake uko palepale bila kujali hayo majina. Hii ya battery za magari ninauhakika itakua siyo conc lazima ni diluted acid japo inaunguza, chukua mwagia kwenye nguo yako uone. Pia katika battery za magari tusichanganye hapa, kuna yale maji yanayoongezwa kwa battery ambayo ni ''baridi'' yenyewe si makali (distilled water) yapo kwenye container za 1Litre haya unanawa hata uso wako bila shida. Ninafikirii hata hizo wanazomwagiwa watu zitakua ni hizi diluted Acid, kwa conc acid nashindwa kuimagine hali ingekua vipi.
Mkuu unamaanisha muda wooote tunazungumzia acids zinazouzwa garage na kuongezwa kwenye betri za magari we were singing for the dogs?
Wewe utakuja kutuletea matatizo wewe,
Kwa hiyo unapinga uwezekano wa betri za magari kuwa zinatumika kudhuru watu?
Alafu hizo chemicals kwenye mbolea zinaacha udongo wetu salama kweli?
Nakubaliana kabisa na wewe mkuu, lakini naona umeshindwa kunielewa kitu kimoja ingawa wote tunaongelea kitu kimoja. Acid yenye sifa ya kuwa Highly Corrosive (Inayoweza kutoboa/kuchimba nyama/metal) ni Nitric Acid ingawa concentration inamata nakubali, Sulphuric acid inaunguza lakini haichimbi. Mwenye Taaluma ya Biochemistry atakubaliana na mimi juu ya matumizi ya sulphuric acid kama dehydrant (Inafyonza maji) katika organic compounds zikiwepo Carbohydrates na seli hai za binadamu au kwa maana nyingine inasifa ya kuchoma maana kukausha maji kwenye kitu ni kuchoma si ndiyo??
Wewe utakuja kutuletea matatizo wewe,
Kwa hiyo unapinga uwezekano wa betri za magari kuwa zinatumika kudhuru watu?
Alafu hizo chemicals kwenye mbolea zinaacha udongo wetu salama kweli?
Samahani kwa kuchelewa kujibu mkuu, namalizia Game la Man U na Wigan nitarudi soon Mkuu wangu.
unasema haiunguzi haya kanunue halafu ujimwagie mkononiHighly corrosive ni Nitric Acid, hii Sulphuric Acid ya kwenye magari inaunguza tu lakini si corrosive. Tatizo la ajira kwa vijana wasomi soon na hii nitric acid itaanza kupatikana kama pipi.Hii ni mbaya zaidi na kwa kemia ndogo tu mtu anaweza kuitengeneza kutoka kwenye mbolea za NPK na Ammonia (Nitrogenous fertilizers). Siwapi desa msije sema nafundisha ugaidi bure.
How did I forget elecrosis,you have made me feel very stupid real.naomba nisikuulize kwa nini sulphuric acid ni preferable kuliko solutions nyingine hasa kwa sababu za kikemia,ukipenda sio mbaya kutuweka sawa wananchi wenzako.
Lakini nikikumbuka electrosis sioni ni kitu gani huwa kinafanya watu wanunue acid kurefill,au kuna electroplanting inayofanyika pia?
Alafu,hili swala la watu kumwagiwa,naona kama huwa kuna reaction huwa inatokea kati ya mwili na hiyo acid kiasi kwamba baada ya muda reaction inaicha sababu ya acid kuisha na hivyo kuzuia madhara zaidi? Ni sawa? Na je ni sawa watu wanaotishiwa kumwagiwa tindikali wakianza kutembea na alkali ili kunetralize pale wanaposhambuliwa?
unasema haiunguzi haya kanunue halafu ujimwagie mkononi
I will wait,last time nimechungulia man u aliishapiga mtu moja.
Note that I am ready to shift my attention kwenda kwenye issue ya mbolea,pestides and insectisides sababu nilikuwa nasoma mahala nakukuta zinasababisha madhara makubwa kwenye udongo kuliko hata hawa watu wachache wanaomwagiwa tindikali.
Lakini hata kama sio kali kihivyo sasa naanza kuona kwamba bado zinaweza kutumika pia,sababu acid ikikutana na maji kunakuwa na reaction flani na ukumbuke mwili wa binaadamu ni asilimia 98 maji.
Hata hizi incidences za watu kumwagiwa na kupona zinasababishwa na hiyo acid iliyommwagikia muhanga kuwa kuwa zimetumika zote au kuwa diluted au kutengeneza kitu kingine kabisa hapo kwenye ngozi ama sivyo ikimwagwa kwa wingi inaweza kutoboa hata fuvu and you know what that means!! Hivyo naona tusiignore kwa sababu ya dilution yake unless maexpert waje na advanced opinion.
Tuangalie context mkuu...swala hapa ni upatikanaji wa hizi acid na jinsi gani zinahatarisha maisha ya binadamu...iwe ina unguzi inachoma inakula nyama yote hayo ni madhara kwa binadamu hoja ya sangara ni namna gani serikali inaweza kudhibiti uingizaji wa tindi kali hizo...lazima uelewe context mnyamwezi wa urambo mji usio na barabara ya lami richa ya kuwa na viongozi shupavu wenye ushawishi wa siasa kitaifa! by the way mimi niliwahi kaa tabora mjini, ila sijaenda kitambo sana siupendi ule mkoa, nilisoma uyui, namkumbuka marehemu mzee amiri muuza mihogo, ntalali, mabungo mwembeni mwehu mwajuma ringa, malingumu, disco isungu muungano mesi, tabora hotelMkuu Highly Corrosive maana yake siyo kuunguza, ni kutoboa au kuchimba. Sulphuric Acid inaunguza tena vibaya sana tu wala siyo ya kukaa karibu nayo.Nitric acid licha ya kuunguza lakini inakula na nyama kabisa(Inachimba).
Mwalimu Amasi huyo mwaka alikuwa kijana wa makamo hivi alikuwa ana mbembwe haswa... anakuambia wewe kamata kibiriti wewe shika karatasi itakayochomwa n.k then anamwambia mtu shika hii chupa lakini acid ikikumwagikia sihusiki watu wan akataa then anasema msiogope dah jamaa watu walikuwa hawadoji kipindi chake...Hapo alikua anawaonyesha mbwembwe kidogo ili mjue ukiwa mwanasayansi anything can happen na ilikuwa nje ya topic bila shaka na lazima mwalimu alikuwa kijana at that time
Ndugu yangu unaonekana una knowledge ndogo sana ya mambo... yale maji ya betri ndiyo yanaipa betri nguvu ya ku ignite engine...ni highly corrosive nenda dukani yanauzwa sh 3000 nunua halaf weka kwenye nguo uone ukali wake...sasa kama yanaweza kuyeyusha nguo je mtu akimwagiwa usoni inakuwaje? serikali haiwezi kudhibiti uuzaji wa acid ya gari kwa sababu matukio mengi ya kumwagia watu tindikali yanakuwa na motives fulani hata kisu nyumbani kinaweza kuwa silaha tu na kuuwa na huwezi kusema serikali idhibiti visu visiuzwe
Nimekusoma sema rihana kanitoa kwenye mode kabisa,namna alivyoanza kuelezea mambo ya urambo nimecheka mpaka nimepariwa na maji.sikutarajia aina ya twist aliyoifanya.Game limeisha mashetani wameshinda 2-0 so wamenyanyua ngao yao. Nadhani nimekujibu Mkuu si ndiyo?
Okay-lakini naona ni kama tumeshindwa kuconclude hata kwenye swala la maji ya betri tu.I dont get you, if you go through my two posts in this thread you ll come to know that we are in the same line. We are all discussing the battery acid, but I was trying to make our discussion wide that, there is also this distilled water added to the same battery.
Tuangalie context mkuu...swala hapa ni upatikanaji wa hizi acid na jinsi gani zinahatarisha maisha ya binadamu...iwe ina unguzi inachoma inakula nyama yote hayo ni madhara kwa binadamu hoja ya sangara ni namna gani serikali inaweza kudhibiti uingizaji wa tindi kali hizo...lazima uelewe context mnyamwezi wa urambo mji usio na barabara ya lami richa ya kuwa na viongozi shupavu wenye ushawishi wa siasa kitaifa! by the way mimi niliwahi kaa tabora mjini, ila sijaenda kitambo sana siupendi ule mkoa, nilisoma uyui, namkumbuka marehemu mzee amiri muuza mihogo, ntalali, mabungo mwembeni mwehu mwajuma ringa, malingumu, disco isungu muungano mesi, tabora hotel
Tuangalie context mkuu...swala hapa ni upatikanaji wa hizi acid na jinsi gani zinahatarisha maisha ya binadamu...iwe ina unguzi inachoma inakula nyama yote hayo ni madhara kwa binadamu hoja ya sangara ni namna gani serikali inaweza kudhibiti uingizaji wa tindi kali hizo...lazima uelewe context mnyamwezi wa urambo mji usio na barabara ya lami richa ya kuwa na viongozi shupavu wenye ushawishi wa siasa kitaifa! by the way mimi niliwahi kaa tabora mjini, ila sijaenda kitambo sana siupendi ule mkoa, nilisoma uyui, namkumbuka marehemu mzee amiri muuza mihogo, ntalali, mabungo mwembeni mwehu mwajuma ringa, malingumu, disco isungu muungano mesi, tabora hotel