Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
uko wapi ndugu yangu si ndiyo kazi yangu hiyo
Kama unahitaji TIN number nenda TRA office yoyote omba form ya kuomba TIN number, uijaze na baadaye iwasilishe TRA. TIN number haina gharama yoyote ni bure na wala usitumie mtu wa kati kukutafutia. We nenda TRA utaeleza na kujaza form husika, kisha utapata TIN.