TIN Number

Saida

Member
Mar 15, 2007
10
5
Wana JF,

Nina ka biashara kangu nakatafutia TIN number, kuna anayeelewa procedures za kupata na gharama zake?

Asanteni
 
Kama unahitaji TIN number nenda TRA office yoyote omba form ya kuomba TIN number, uijaze na baadaye iwasilishe TRA. TIN number haina gharama yoyote ni bure na wala usitumie mtu wa kati kukutafutia. We nenda TRA utaeleza na kujaza form husika, kisha utapata TIN.
 
Ngereja, you said everything!
 
Back
Top Bottom