mkandu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 336
- 461
Hali isiyo ya kawaida imejitokeza kwa raia wa Tz waishio Mozambique na waTz wanaokisiwa zaidi ya 100 Na zaidi wamevuka kivuko wengi wao wakiwa hapa Mtwara mjini eneo la Chilindima gest wanadai wamezuiliwa kutotoka Na chochote katika mali zao wengi ni wale walokawa wanaishi mkoa wa Pemba na miji jirani na wanadai oparesheni bado inaendelea.