Timu zilizo panda daraja 2016/2017

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Naomba huu Uzi tuutumie kwajili ya timu zinazo panda daraja mwaka huu. Hadi sasa kuna timu 2 kama siyo tatu zimesha jihakikishia kucheza VPL .

1.LIPULI FC
2. SINGIDA UNITED
3. NJOMBE MJI FC

wanao jua timu nyingine watuwekee hapa
 
Zilipigwa figisu figisu mpaka Alliance ikashindwa kupanda ligi kuu sina hamu na hao Tff,halafu tunaendelea kubaki na Toto inayogawa point tu
 
Unataka kusema alliance ilitakiwa kupanda daraja mwaka huu? au kupanda daraja nako kuna siasa?
 
Zilipigwa figisu figisu mpaka Alliance ikashindwa kupanda ligi kuu sina hamu na hao Tff,halafu tunaendelea kubaki na Toto inayogawa point tu
Unafatilia ligi za madaraja ya chini?? Alliance hata ligi daraja la kwanza (FDL) alipanda kwa figisu na hata mechi zake zilikuwa na figisu figisu sana ni timu ya mbeleko mbeleko. Kupanda ligi kuu inategemea wakubwa wanamtaka nani!
 
Ligi daraja la kwanza ni sawa na vita, ni ngumu sana, ushindani wake ni mkubwa kuliko ligi kuu, haina sijui mbabe kama ligu kuu wote wana nia moja ya kupanda ligi kuu na hamasa kubwa huja kwasababu zote huwa na sura ya mkoa,mechi za nyumbani kwa kila timu huwa mechi muhimu maana ugenini kushinda ni shida...kama ingebireshwa ingeleta burudani kubwa kushinda vpl
 
Unafatilia ligi za madaraja ya chini?? Alliance hata ligi daraja la kwanza (FDL) alipanda kwa figisu na hata mechi zake zilikuwa na figisu figisu sana ni timu ya mbeleko mbeleko. Kupanda ligi kuu inategemea wakubwa wanamtaka nani!
Hahahaaaaaaa kwahiyo Singida united ndo wako vizuri zaidi ya Allince kimpira? Ndugu kumbe upeo wako kwenye soka ni wa hivyo Alliance aliyeanza chini kwa kufundisha watoto na vijana nenda Arusha ulizia mashindano ya Rolling stone soccer academy
 
Singida mwenyewe kabebwa, Yaani ka nlivosema mwanzo kupanda ligi ni mapenzi ya Viongozi ka ni kiwango cha mpira timu 5 za Dar zimeshindwaje kupanda zote??... Rolling Stone naijua kuliko unavyoijua wewe nmecheza timu ya u16 ya kina Kigi, Maftah, Mwamtobe nk nk.... Alliance haijafkia hata nusu ya mipango ya Mtumwa na Rolling Stone yake ina ujanja ujanja mwingi Rolling Stone alianzisha timu inaitwa Arusha Stars ilifanyiwa figisu Mtumwa akaamua kuipotezea
 
Kwahiyo ulitaka mkuu timu zote 5 za dar zina kiwango cha kupanda ligi kuu? Nadhani tunakosea sehemu na kwanini Tff wanafanya biashara kwenye mpira kumbuka issue ya Geita na polisi Tabora nadhani ni bora ya Alliance na Singida
 
Angalia aina ya wachezaji, maandalizi na muundo wa timu za Dar linganisha na timu zilizopanda!! Kiukweli TFF wanaleta biashara na siasa kwenye mpira especially kwenye kupanda kwa timu
 
Malinzi should step down for this maana kamati ya mashindano ya Tff umejaa rushwa sana
 
Naomba huu Uzi tuutumie kwajili ya timu zinazo panda daraja mwaka huu. Hadi sasa kuna timu 2 kama siyo tatu zimesha jihakikishia kucheza VPL .

1.LIPULI FC
2. SINGIDA UNITED
3. NJOMBE MJI FC ( japo sina hakika)

wanao jua timu nyingine watuwekee hapa
Imepanda Njombe mji
 
Hahahaaaaaaa kwahiyo Singida united ndo wako vizuri zaidi ya Allince kimpira? Ndugu kumbe upeo wako kwenye soka ni wa hivyo Alliance aliyeanza chini kwa kufundisha watoto na vijana nenda Arusha ulizia mashindano ya Rolling stone soccer academy
PSG 4-BARCELON 0..PSG anaenda robo fainali.
 
Kwahiyo Alliance alitakiwa apande hata kama kashindwa kufunga goli? Alliance kapigwa 2 kavu, mkaanza kusingizia offside. Figisu ziko wapi? Hizo timu zenu za Mwanza zishuke tu hasa Toto la vyura.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom