Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,456
Mkuu Arabian utakuwa unawajua akina Mohammed Shossi na Seif Matambuu-SAS wa Tanga?
Seif Matambuu SAS ni marehemu,Humu JF yupo Mohammed Shossi unamfahamu vp wewe?Jamaa zangu wale .
Marehemu seif Matambuu ndiye aliyekuwa mdhamini mkuu wa Coastal Union mwishoni mwa miaka ya 80 na ndio wakati iliposhinda ubingwa wa Bara.Wakati ule Coastal ikiundwa na akina:Seif Matambuu SAS ni marehemu,Humu JF yupo Mohammed Shossi unamfahamu vp wewe?
Jackbauer - Actually na mimi ningependa kujua timu ya kina Tenga ilikuwa lini maan i dont recall kama alicheza na Bendera na Boniface.<br />
<br />
Mkuu Tongoni nashukuru kwa kunikumbusha kikosi machachari cha Coastal Union ya Tanga. Wakati ule soka ilikuwa soka ya kusikiliza redioni.<br />
<br />
SAS kumbe alifariki duuh. nilikuwa sina habari kabisa nilidhani alihamia Canada au UK.