TONGONI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 1,041
- 373
Leodgar Tenga alichezea Timu ya Taifa kuanzia 1974-1981 na alikuwa Captain wa Timu ya Taifa kuanzia 1977-1981 na kipindi hicho ambacho Tanzania tulifaulu kwa mara ya kwanza na pekee kucheza fainal za Cup of Nations.Kikosi cha wakati kilikuwa:Ile timu ya kina leodga tenga ilikuwa mwaka gani?
JUMA PONDAMALI
MOHAMEDI MKWECHE
MOHAMEDI KAJOLE
LEODGAR TENGA
MOHAMEDI BAKARI "TALL"
MOHAMEDI ADOLF RICHARD
GORDIAN MAPANGO
HUSSEIN NGULUNGU
MOHAMEDI SALIM
PETER TINO
THUWENI ALLY