Timu ya Simba haina bahati ya viongozi

Timu ya Simba haina bahati ya viongozi

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
169
timu kongwe hapa nchini simba spot club haijapata viongozi wazuri mda mrefu waliopo sasa waongowaongo mataperi kanuni za ligi wanavuruga yaani ni shida bin balaa.
tuombe mungu isije hadhi ya simba ikaporomoka kabisa kama nyota nyekundu
 
Jana nilisikia redioni viongozi wa simba wakichakachua katiba yao,inaelekea hawajui katiba inasemaje.rage alikuwa kiboko wa katiba big up kwake,swali la kujiuliza,nani aliye record zile sauti??yupo kati ya wale viongozi anayegeuka wenzake??
 
timu kongwe hapa nchini simba spot club haijapata viongozi wazuri mda mrefu waliopo sasa waongowaongo mataperi kanuni za ligi wanavuruga yaani ni shida bin balaa.
tuombe mungu isije hadhi ya simba ikaporomoka kabisa kama nyota nyekundu
Unajua ili thread yako iheshimike inabidi ujenge na kutetea hoja. Mfano, unatakiwa walau kidogo ueleze haya:

i. Uongo wa viongozi wa Simba
ii. Utapeli (utaperi) wao
iii. Kanuni za ligi walizovuruga

Weka mifano michache tuitendee haki thread. Ndio maana awali nilidhani utakuwa unaendelea kutype!
 
mkuu mm ni mshabik wa simba ila kauli yako imenichekesha mpaka bas sijui hata umewaza nn maana hakuna ulichoongopa
 
timu kongwe hapa nchini simba spot club haijapata viongozi wazuri mda mrefu waliopo sasa waongowaongo mataperi kanuni za ligi wanavuruga yaani ni shida bin balaa.
tuombe mungu isije hadhi ya simba ikaporomoka kabisa kama nyota nyekundu

Ni Kweli Timu Ya Simba Haina Bahati Na Viongozi Wake ILA Timu Ya Simba Ina Bahati Sana Ya Kuifunga Yanga Hadi Wanapigana Bakora Na Kufukuzana Hovyo.
 
Timu yenyewe inacheza kwa ajiri ya timu moja

Acha Kujihami Jumapili Kama Kawaida Yetu Tunachafua Hali Ya Hewa Mtaa Wa Twiga Na Safari Hii Ndiyo Mtafukuza Teja Lenu Manji.
 
Aina kujiami ila jna mmetoa milioni 70kwa bajeti ya mechi moja
 
kama simba hamjamuhonga refa na wasaidizi wake j2 utakuwa msiba mkubwa msimbazi
 
Acha Kujihami Jumapili Kama Kawaida Yetu Tunachafua Hali Ya Hewa Mtaa Wa Twiga Na Safari Hii Ndiyo Mtafukuza Teja Lenu Manji.

Mkuu, mimi ni Yanga. Tukifungwa na Simba roho inauma sana. Lakini pamoja na hayo Simba ikiibuka na ushindi jumapili, maisha yataendelea kwa maana lengo ni kutwa ubingwa mwaka huu. Tukitwaa ubingwa na ushindi dhidi ya Simba ni vizuri zaidi.
 
Ni Kweli Timu Ya Simba Haina Bahati Na Viongozi Wake ILA Timu Ya Simba Ina Bahati Sana Ya Kuifunga Yanga Hadi Wanapigana Bakora Na Kufukuzana Hovyo.

Mpira wa kuifunga yanga au Simba ni mpira wa kipuuzi,yaani unakaa unawaza kuifunga timu moja tu.Shinda mechi nyingi kadiri uwezavyo,ndiyo maana Mourihno alisema hawezi mpumzisha mchezaji eti kisa mbele kuna mechi kubwa.Kwake yeye kila mechi anayocheza ni mechi kubwa.Simba na yanga tuige wenzetu wa mbele tuache ujinga wa kufunga timu.moja.Ndiyo maana mpira wetu hauendelei kwa sababu focus yetu ni simba.na Yanga
 
Back
Top Bottom