Timu ya M4C ikiwa kambini

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Kamanda Mbowe Lema na Ally Bananga wakiiwa kambini wakipata msosi wa pamoja na wazee wa kimakonde ambao wameamua kuvua ujinga wa ki-CCM na kuvaa ukamanda na kuwapigania watanzania wenzao.

Hii ni mtwara nyumbani kwa kina Nape Nnauye ambako wazee wa kule hawataki kumsikia na CCM yake..M4C ndio tumaini lao

attachment.php
 
Attachments

  • 550793_216401665147929_1021082840_n[1].jpg
    550793_216401665147929_1021082840_n[1].jpg
    10 KB · Views: 590
Kwa mwendo huu lazima kieleweke very soon. Sijui mbunge wa Bahi atavuliwa Ubunge kwa kashfa inayomkabili? Maana ni uwanja wa mazoezi kwa 2015
 
mboga iko wapi?. nimependa sana hii. ugali wa jumuia kama huu huwa mtamu sana. tonge tatu tu ugali umeisha.
 
mboga iko wapi?. nimependa sana hii. ugali wa jumuia kama huu huwa mtamu sana. tonge tatu tu ugali umeisha.

Inanikumbusha miaka fulani nikiwa juniour nilitembelea kwenye moja ya familia ya ndugu zetu na peke yangu nilikwa mdogo....likaletwa sinia la ubwabwa ile nanawa maji nikatumwa maji ya kunywa narudi tu sinia jeupeee. Toka siku hiyo nikienda nawekwa kwa akina mama maana wale vijana duh walikuwa ni nomaa.
 
Mkuu mboga huwa inakaa hapo katikati kileleni mwa nguna.

nilisahau. hapo inatakiwa uwe unamega ugali pembeni pembeni ili usitoboe shimo lenye mboga coz mchuzi waweza tapakaa sinia nzima.
 
mboga iko wapi?. nimependa sana hii. ugali wa jumuia kama huu huwa mtamu sana. tonge tatu tu ugali umeisha.

nilisahau. hapo inatakiwa uwe unamega ugali pembeni pembeni ili usitoboe shimo lenye mboga coz mchuzi waweza tapakaa sinia nzima.

Mkuu dubu, mimi naona hiyo kitu ni kama ubweche vile!! Nguna kweli hiyo?! Maana hata Freeman alivyoshika hilo tonge, halijakaa kama tonge la nguna, bali kama tonge la ubweche.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom